Wazanzibari wakusanya saini ya kutaka kura ya maoni juu ya Muungano
JUMUIYA ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar imetoa fomu maalumu ya kuorodheshwa idadi ya yatu wanaotaka kuitishwa kura ya maoni juu ya mustakabali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar […]