Picha

Kwa matukio katika picha, tafadhali bonyeza hapa.

Advertisements

11 responses to “Picha

 1. Tanzanian Police have developed a synrome known as ” LICENCE TO KILL” They can do so whenever they feel they want to or when they want promotions. Symptoms of the syndrome were first detected in January 2001. Since then several people have been killed and instead of legal actions, the killers are promoted.

 2. Zanzibar mandeleo hakuna mpaka leo.makazi hakuna,elimu ndogo,madawa hospital hakuna, na hao viongozo Kilammoja wao wanaangalia matumbo Yao. Ilona ipande wa mapolisi hata sijui kazi Yao nini. Baada kuwalinda wananchi wao,wao ndo wanaandamiza kwa ruswa.

 3. Jamani! kwenye marekebisho ya katiba tunachangia kitu gani? kwa sababu tumeeambi wa tusijadili kkipengele cha muungano na suala lDINI, sasa tutazungumzia kitu gani na haya ndio mambo yanayofanya tuhusike kwenye hiyo katiba, bila mambo haya sisi haituhusu au mnasemaje wadau?

 4. Nakuunga mkono abdulkadir, kama hawataki tuzungumzie kuhusu muungano na dini kwenye marekebisho ya katiba mpya kwa nini mkatupa fursa ya kutoa maoni? Hatuwezi kurekebisha katiba kama hatujaanza muungano sababu ndio utakaotoa nafasi ya kujua jinsi gani ya kuiandika katiba.
  Jamani viongozi wetu mmekaa kama hamjasoma? Au nanyi mmeshaitwa dodoma mkapewa bahasha zenu?
  Pigana kwa maslah ya nchi yako nayo ni miongoni mwa jihadi ktk uisjam utaulizwa!!

 5. no retriet no salender zanzibar kitaeleweka tu iwe isiwe muungano umefika mwisho wake. zanzibar yamafanikio inawadia MUUNGANO KWAHEREEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • Hawa Kisonge na Ile maskani ya Mwembeshauri wanataka nini hasa. Maana zamani walikuwa wakiandika yanyoendelea baraza la wawakilishi hasa zile hoja za upande wa CCM sasa wawakilishi wa CCM wameacha kasumba na kuwasemea wazanzibari wao wameandika WAWAKLILISHI MSITUSEMEE. Sasa nani ataisemea zanzibar katika vyombo vya dola. nini azma yao kwa Zanzibar. Mbona wanatufanya tuwachukie hata nkama hatutaki

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s