Test1

Prof. Domingo akiwa katika chemba ya mahakama kuu huko Angola pamoja na wenzake.

Prof. Domingo akiwa katika chemba ya mahakama kuu huko Angola pamoja na wenzake.

Serikali ya Angola inadai kwamba wanaharakati wa “Klabu ya Vitabu ya Luanda” walikuwa wakila njama za kuipindua serikali. Walikamatwa na Machi 28 mwaka huu, wote 17 walipewa vifungo vya baina ya miaka miwili hadi minane pamoja na kutozwa faini ya kwanza 50,000 (sawa na dola 300 za Marekani). Da Cruz mwenyewe alihukumiwa kifungo cha miaka minane na nusu.

Advertisements

One response to “Test1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s