Maalim Seif akana kumuandaa Jussa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) amesema yeye binafsi hana chama bali anayetaka kuwania nafasi yeyote […]
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) amesema yeye binafsi hana chama bali anayetaka kuwania nafasi yeyote […]
Na Omar Msangi Wiki iliyopita Desemba 10, 2011 kitengo cha ukachero cha Marekani, Federal Bureau of Investigation (FBI), wametoa taarifa kuwa wamemfungulia mashitaka Farouq Khalil Muhammad (38) katika mahakama moja […]
Kama CUF iliweza kukaa pamoja na CCM iliyodaiwa kutumia vyombo vya dola kuwafanyia ukatili, uovu na idhilali ya kutisha wanachama wake, hasa kila unapoingia uchaguzi mkuu, vipi ishindwe kutumia vikao […]
Prof. Anna Tibaijuka afanya yaliyomshinda Mwinyi, Mkapa *Akabidhi nyumba za Wakfu Kariakoo *Sheikh Bassaleh ampa salamu za Kikwete Profesa Anna Tibaijuka amefanya yaliyoshindikana katika uongozi wa Alhaji Alli Hassan […]