Wazanzibari watakiwa kuungana kudai haki
Wazanzibari wametakiwa kuungana katika kutetea maslahi ya nchi yao wakati wa mchakato wa katiba mpya ikiwa njia mojawapo ya kuhakkikisha madai yao yanakubaliwa. Wakihutubia kwa nyakati tofauti katika muhadhara wa […]