Taarifa ya serikali ya kuzama kwa Mv. Skagit
Mara baada ya tukio hili, Kamati ya Kukabiliana na Maafa ya Taifa ilikutana kwa ajili ya kuweka mikakati ya hatua za kuchukua pamoja na kuandaa taarifa rasmi ya Serikali kwa […]
Mara baada ya tukio hili, Kamati ya Kukabiliana na Maafa ya Taifa ilikutana kwa ajili ya kuweka mikakati ya hatua za kuchukua pamoja na kuandaa taarifa rasmi ya Serikali kwa […]
IDADI ya miili iliyopatikana katika ajali ya meli ya Mv. Skagit imezidi kuongezeka baada ya jana kupatikana miili 16 katika maeneo ya Zanzibar na Bagamoyo Tanzania Bara. Kwa mujibu wa […]
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuwaapisha Mhe.Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa Waziri […]