Tumeamua kuachana na madawa ya kulevya

Wanawake waliokuwa wakitumia madawa ya kulevya Zanzibar walioamua kuacha matumizi ya dawa hizo wakimsubiri mke wa makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad Bi Awena Sanani alipowatembelea katika nyumba wanazoishi vijana hao huko Tomondo Mjini Unguja

2 responses to “Tumeamua kuachana na madawa ya kulevya

  1. AHSANTENI MUNGU AWAJAALIE MUENDELEE KUACHA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA PIA WASHAWISHINI WANAOTUMIA MADAWA YA KULEVYA KUACHA KUTUMIA. UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA NI HATARI KWA AFYA YA BINADAMU.

Leave a reply to RASHID Cancel reply