muasisi wa CUF afariki dunia
MWASISI wa Chama cha Wananchi(CUF), Shaaban Khamis Mloo amefariki dunia katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Visiwani Zanzibar ambako alikuwa akitibiwa maradhi ya moyo. Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano ya […]
MWASISI wa Chama cha Wananchi(CUF), Shaaban Khamis Mloo amefariki dunia katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Visiwani Zanzibar ambako alikuwa akitibiwa maradhi ya moyo. Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano ya […]
CHAMA cha soka Zanzibar (ZFA), kimepongezwa kwa uamuzi wake wa kumfungia maisha Kocha Mkuu wa timu ya Soka ya JKU, Salum Bausi Nassor kufuatia kufanya shambulizi la hatari kwa muamuzi. […]
WADAU wa Soka nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuwatupia lawama Wakufuzi wa mchezo huo, kutokana na kasoro za waamuzi. Ushauri huo umetolwa jana na Mkufunzi Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini […]
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM -UVCCM -nchini imesema vijana wake wanatakiwa kuifafanua ilani ya uchaguzi kwa kutaja faida na maslahi ya utekekezaji wa kila sekta. Naibu Katibu MKuu […]
RAIS wa Zanzibar na Amani Abeid Karume amesema kuwa hatua za makusudi zitaendelea kuchukuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kuimarisha miundombinu ya kilimo ili kuongeza uzalishaji wa chakula hapa […]
Askari wawili wa kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ) jana wameuawa hapo hapo baada ya kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi eneo la Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi. Katika […]
UCHAGUZI wa Chama Cha Mchezo wa Netiboli Zanzibar (CHABAZA), umeakhirika kufuatia kukosekana kwa mgombea wa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho kujitokeza kuchukua fomu ya nafasi hiyo. Kwa mujibu […]
TIMU ya soka ya Konde Kisiwani Pemba imefanikiwa kwa tabu kupata nafasi ya kushiriki katika michuano ya ligi kuu mwakani baada ya kutoka sare ya goli 1-1, na timu ya […]