Soma gazeti la Annuur kila Ijumaa

Jeshi la polisi likimuongoza kijana waliomkamata akitoka katika msikiti wa Mbuyuni kuomba ya kuwaombea watu waliofikwa na maafa ya ajali ya meli ya Mv Skagit dua hiyo iliandaliwa na taasisi za kiislamu Zanzibar

Mansour asema
Zanzibar kwanza
CCM baadae. Asisitiza zile zama za…
Zidumu fikra za ‘Nyerere’ zimepita
Asema Nape aache kuiburuza Zanzibar

Hayo na mengine mengi usikose kusoma Gazeti lako Bonyaza hapa ANNUUR 1027

Advertisements

5 responses to “Soma gazeti la Annuur kila Ijumaa

 1. POLISI ZANZIBAR NA TANZANIA KWA UJUMLA NI MADHALIMU TU KAMA WALIVYO MABOSI WAO. WAPI UMEONA NG’OMBE AKAZAA PAKA? KAMA SERIKALI NI DHALIMU BILA SHAKA NA VYOMBO VYAKE VITAKUA HIVYO HIVYO NA KAMA NI YA DEMOKRASIA NA VYOMBO VITAKUA HIVYOHIVYO. MWENYEEZI MUNGU ATAWALANI WOTE HAO KWANI KAZI YA POLISI IMELAANIWA TOKEA ENZI ZA MITUME. VIPI UNAWAPIGA MABAOMU WATU WANAOOMBA MUNGU, VIPI UNAINGIA MSIKITINI NA VIATU, VIPI UNAWADHALILISHA AKINA MAMA WA KIISLAMU WALIOJISTIRI. KWA SABABU TU UNA BUNDUKI. JUA WEWE POLISI HIYO BUNDUKI YAKO NA KIBURI CHAKO HAKITAKUSAIDIA KITU SIKU YAKO IKIFIKA HASA WEWE KAMISHNA UNAEJIITA MUSSA WAKATI JINA LAKO SAHIHI NI PAULO.

 2. Nimeona na kuvutia uchambuzi wenu juu ya hoja ya Mchungaji ya kutaka Serikali ya Zanzibar iachie watu wafanye watakavyo katika Mwezi wa Ramadhani. Mchungaji kama Mbunge angeuliza mambo ya msingi ambayo yanaisumbua nchi yetu. Mambo haya watu Wa Zanzibar kutaka Mwezi huu uheshimiwe yapo zama na zama. Hapo nyuma watu walitamani Mwezi huu unigie waone Sakina ilivyojaa kila pahali!

  Nampongeza Mheshimiwa Pinda kwa kumpuuza Mchungaji na kuacha kama kiongozi wa taifa kuingilia mambo nyeti kama haya ya dini ambayo yanaweza kumasha zogo kubwa lisilomithilika ! Mheshmiwa Pinda umeonesha ukomavu kwa kuwa Dini hapa Zanzibar ni sehemu ya maisha ya Watu. Hii ya kuwa Katiba inasema kuwa nchi haina dini haina maana kuwa watu wafanye wafanyavyo! Zanzibar watu wana dini na wanahitaji dini yao iheshimiwe kwa kuwa ndio inayowaleta pamoja!

  Mchungaji aache kuchokonoa mambo ilikuzuia vuguvugu ambalo linataka Zanzibar huru na iandike Katiba itakayotamka kuwa Zanzibar ni Dola ya Kiislamu. Watu wanayasema haya kwenye mikutano ya Mchakato wa Katiba mpya Tanzania.

 3. Askari ni Wanzanzibar ambao waziri amesema Asilimia 99% ni waislam. Wazanzibar wanauana wenyewe kwa wenyewe.

  Nahisi Wamefuata kauli ya Rais Shein ya kukataza Mikutano yoyote ya UAMSHO.

 4. mtahadhari na huyu mansour , ni miongoni mwa wanaoupenda muungano , asikudanganyeni, katumwa na chama chake na serikali kujionyesha kuwa haupendi muungano, kama mkweli miaka zaidi ya kumi yupo kwenye serikali mbona hakusema chochote kuhusu muungano?

 5. hawa maaskari kujitia uwanaume wala hawana lolote lile kama kweli wayaweza wangepambana kiume wakaweka silaha na mabomu pembeni lakin ole wao tukicharukwa na sie kama wataweza kukata chochoro hawa tusiwapige mapanga

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s