Khitma ya kuwaombea maiti za Mv. Skagit

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein wapili kutoka kulia akijumuika na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi katika Khitma na Dua ya kuwaombea marehemu waliofariki kwa ajali ya Meli ya Skagit iliozama karibu na kisiwa cha chumbe 18/07/2012 katika Msikiti wa Mushawwara Muembe shauri Zanzibar.

Advertisements

4 responses to “Khitma ya kuwaombea maiti za Mv. Skagit

  1. M.Mungu haangalii makoti yenu wala vikofia au kanzu mlizovaa au ndevu zenu , anaangalia nyoyo zenu na nia zenu , muungano basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamaniiiiiiiii, he viziwi vipofu mabubu?

  2. mnanuka rushwa na dhuluma na chuki , msiwaombee hao maiti wakapata taabu badala ya rehema , waacheni wao na mungu wao

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s