Orodha ya waliokufa katika ajali ya Mv. Skaget

Miili ya watu waliofariki katika ajali ya meli iliyotokea juzi katika boti ya Mv. Skaget ambayo baadhi yao haijatambuliwa na jamaa zao ambapo serikali imetangaza kuizika kufuatia kuwa jamaa zao hawajaja kuitambua miili hiyo

Hii ni idadi ya watu ambao wamepatikana majina yao na maiti zao baadhi yake zimeshachukuliwa na jamaa zao na baadhi yao bado hazijachukuliwa na kwa mujibu wa taarifa za serikali miili hiyo itazikwa kwa pamoja kutokana na kuwa imeshaanza kuharibika. Jumla ya abiria waliokuwa ndaai ya boti hiyo ni 290 watu 68 wamefariki, watu 146 wameokolewa na 76 wamepotea baharini

No
JINA
UMRI
WANAKOTOKA
No
1
ANITA EMANUELI
42
KIBAMBA CCM DAR-ES SALAM
36
2
RUKAIYAA ISSA MUOMBWA
MIEZI 2
MELI NNE FUONI
15
3
HALIMA ALI KHAMIS
23
MTOPEPO
34
4
KOLIN KRISPIN
MIEZI 9
KUNDUCHI DAR
29
5
RAHMA ALI ABDALLA
52
MFENESINI
32
6
SAIDI JUMANE MASANJA
9
MZEGA TABORA
2
7
SAUDA  ABDALLA OMAR
22
OLE PEMBA
23
8
SAID JUMA SAID
36
ARUSHA
30
9
AMINA ABDALL TINDWA
MIEZI 6
FUONI
13
10
HALIMA RAMADHANI KILIMO
53
MOROGORO
31
11
KHADIJA OMAR ALI
58
KHADIJA OMAR ALI
26
12
AMINA HAMIR BAKARI
39
CHUKWANI
24
13
MWANAHAMISI MSHAURI
42
KIBANDAMAITI
28
14
ALI HAMDU OTHMAN
35
MKWAJUNI
11
15
KHADIJA OTHMAN JUMA
50
BAMBI
10
16
MOHAMMED SAID SALUM
40
MAGOMENI MKUMI
9
17
AMINA AHMED RAMADHANI
21
MICHENZANI
8
18
MGENI JUMA KHALFANI
25
DARAJABOVU
5
19
KHADIJA RAJAB KIBUNE
22
FUONI
4
20
MAUWA RAMADHANI FERUZI
29
MWEMBELADU
18
21
HUSEIN ALI KHAMIS
4
KWEREKWE
1
22
SABIHA HERI MBAROUK
25
MGELEME CHAKE CHAKE PEMBA
20
23
HALIMA ALI MOH’D
35
KIWENGWA
19
24
ASIA JUMA KHAMIS
29
KIEMBE SAMAKI
25
25
YUSUF HASAN YUSUF
7
CHAMANZI DAR-ES –SALAM
3
26
BATULI ABRAHMANI AMIR
20
JANGOMBE
4
27
FATMA SAID SULTANI
54
MSASANI DAR
27
28
JUMA JAFARI SHAJAK
MIEZI 6
KIMANETA TANGA
35
29
MOH’D ALI NGOMBE
41
BUGURUNI
38
30
HUSNA ALI KHAMIS
34
BAGAMOYO
21
31
KULTHUMHAJI KHAMIS
25
BAGAMOYO
22
32
SICHANA PANDU SIMAI
43
KILIMAHEWA
41
33
NADRA MAULID MKUBWA
17
CHUMBUNI
46
34
MWANAIDI ABDALLA RAMADHANI
21
MOROGORO
43
35
ZUBEDA JUMANNE KWANGAYA
26
MEYA
47
36
IDDI MASOUD OMAR
MIEZI 7
TOMONDO
48
37
RIZIKI MOHAMMED IDDI
25
FUONI
45
38
MWANAISHA KHAMIS HAJI
75
JANGOMBE
40
39
AMINA SHABANI KIBENGA
24
JANGOMBE
42
40
LAKI VICTA KADORO
28
MBAgala
50
41
DAMAS LEO MRIMA
54
SHANGANI
55
42
HALIMA SHARIF ABDALLA
21
KIGAMBONI
52
43
ALI JUMA ALI
44
JANGOMBE
56
44
RAYA RAMADHANI HASANI
2
SHAKANI
58
45
MWANAISHA OMAR JUMA
20
BUNJU
53
46
MARYAM IDDI OMAR
25
SHAKANI
49

Advertisements

8 responses to “Orodha ya waliokufa katika ajali ya Mv. Skaget

  1. Waziri anasema hii ni “Act of God” lakini mbona hata idadi kamili ya abiria haijulikani. Na hii pia apewe Mungu. Ni kwanini Boti hizi ziruhusiwe kuuza ticket mikononi. Katika Ulimwengu wa leo ambapo mambo ni rahisi kuyandesha kwanini tuweze kila kitu isipokuwa hili la kujua watu wanaopakiwa kwenye vyombo. Kwa tukio la mwaka jana tulidhani Zanzibar isingeruhusu hali hii kujirudia. Ni kweli sisi tuwaumini wa Mungu kupita hata mitume lakini tujuwe kuwa kwenye usalama hatuwezi kuwa na standards zetu ni lazima tulingane na wenzetu kwa kuwa sisi ni sehemu ya dunia. SPICE islander ilionekana ndogo kwa kuwa iliwachukuwa zaidi kina Hamad. Hii imengiza Kina Paulina na wenginewo. Ni lazima tujiandae huu si muelekeo mzuri !

  2. Viongozi husika lazima wawajibishwe hasa mmiliki wa meli, ukikumbuka hii ni mara ya pili ya mmiliki huyu kupoteza na kuuwa watu, jengine anyangwanywe leseni yake, afilisiwe halafu awekwe jela miaka isiyojulikana ili iwe funzo kwa wengine

  3. Mi natoa pongezi tu kwa Raisi wetu mpendwa kwa kutuoengezea KHUSHUU3 katika sala zetu za leo za Taraweih, Manake sala zetu zote leo zilikua zimetawaliwa na sauti za mabomu. Na pia nampongeza zaidi kwa ushirikiano wake mwema kwa kuukaribisha mwezi mwema kwa mabomu ya machozi na mizinga na kutujaza khofu nyoyoni. Na3m..!! Huo ndio utawala bora. Yaan kihistoria ni kua Ramadhani ni mwezi ulioteremshiwa Qur-an, lakini kwetu ndo kama hivi wao ndio wanajipatia uzoefu wa kupiga silaha na kutuharibia hali yetu ya hewa, kias ambacho kila mtu yanamtoka machozi kwa mabom…. Na hayo yoote ndio faida ya Muungano….. Udumu Muungano….Mmyxxys,…! Na hio ndio CCM ya Zanzibar ilioungana na Bara. Hongereni nyoote. Naona kichefchef hasa kuona mijitu inayokubali kupewa uongozi wasio na uwezo nao…..Shenzxxy………….. Uongozi ni hekima, ni kipaji, ni busara, ni maarifa na ni taaluma..! Sio hivyo…. Fani yenu mmesomea kilimo, af mnataka kuongoza visiwa……Mnxyyxs….. Nna hasira… Bora ata nisiendelee. Lakini ukweli hassa inauma. Na kipindi hiki cha Ramadhani tutawaombea dua sana nanyi msibiwe na masaaib ya ajabu muizunguke dunia kutafta matibab bila mafanikio…….Hasbuna llaahu wani3mal wakiil.

  4. Mimi nilisema kipindi ilipozama SPICE ISLANDER kuwa meli za znz zote ni za viongozi wa smz hazitazuiwa kupakia abiria milele. HAKIKA HUUNDIO MUDA WA MAVUNO KWA KAMATI YA MAAFA ZNZ KUTAFUNA MISAADA TENA.

  5. WAMEUWA WATU KWA VIKOCHA SASA WANAONA BADO WAUE KWA MABOMU. SHENI NDUGU YANGU KWA NINI HUKUBALI KUTAMKA KUA UMESHINDWA KAZI? MLIUWA WAZANZIBARI ZAIDI YA ELFU TATU MKAKAA KIMYA KAMA HAKUNA LILILOTOKEA. MKALA FEDHA YA MAAFA WENGINE WAKAJINUNULIA MAJUMBA TUNAWAJUA. SASA INAONYESHA KUA KILA YATOKEAPO MAAFA YA NAMNA HII NYINYI MNAFAIDIKA KWANI HADI LEO MMESHINDWA KUTOA HADHARANI MICHANGO NA JINSI ILIVYOTUMIKA. TUNA UHAKIKA KUA ASILIMIA ZAIDI YA 70 YA MICHANGO ILE MLIGAWANA NYINYI VIONGOZI WAKUU WA SMZ HIVYO NA HILI LA SAFARI HII MNAFURAHIA MKIJUA KUA ULAJI UNAKUJA. BADALA YA KUPAMBANA NA WENYE KULETA MAMELI MABOVU NA KUTUUA KWA VIKOCHA SISI NA WATOTO WETU MNAPAMBANA NA UAMSHO WANAODAI MASLAHI YA NCHI KWA MANUFAA YENU NA WATOTO WENU MAANA TUKISHAPATA NCHI NYINYI NDIO WA MWANZO MTAOFAIDIKA ZAIDI. KWA UWEZO WA ALLAH NA RAMADHANI HII INSH ALLAH ATAWALIPA KILA WANAOTUFANYIA MAOVU KAMA HAWA VIONGOZI WA SMZ NA JESHI LA POLISI HUSUSAN HAPA ZANZIBAR.

  6. mi naona hatuna viongozi si zanzibar wala bara na sisi wanyonge ndio tunaoathirika zaidi kama watu wameajiriwa na wanakula mishahara bila kujua nini waakifanya………………wanaohusika wawajibishwe by anna johnson.

  7. TANZANIA SASA NI NCHI AMBAYO IMEPOTEZA MUELEKEO. (LE PAY VAS MAL) A COUNTRY GOING ASTRAY. VIONGOZI WAKE HAWAJUI LOLOTE ISIPOKUA WIZI, UBADHIRIFU, RUSHWA NA KUJILIMBIKIZI NALI ZA UMMA. VIJANA NCHINI UINGEREZA KUNA CHUO CHA KIJESHI KINAITWA SANHHURST MILITARY ACADEMY. PALE MLANGONI PAMEANDIKWA ” MWANAJESHI NCHI IKITETEREKA NI WAJIBU WAKO KUICHUKUA” KWA KUA HAPA KWETU JESHI NI TAWI LA CHAMA TAWALA HALIWEZI KUFANYA HIVYO. VIJANA NI JUKUMU LETU KUUNGANA PAMOJA NA KUINUSURU NCHI NA SISI NA VIZAZI VYETU KWANI IKIENDELEA HIVI ILIVYO, TUTAKUA WATUMWA NDANI YA NCHI YETU

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s