Wakimbizi wakiwasili Mkoani Pemba

Afisa na Shirika la UNHCR aliyebeba mtoto akiwa pamoja na baadhi ya wazanzibari wakiwasili Mkoani Kisiwani Pemba wakitokea Unguja, wazanzibari hao waliishi nchini Somali baada kwa miaka 12 baada ya kutokea machafuko ya kisiasa nchini

Advertisements

2 responses to “Wakimbizi wakiwasili Mkoani Pemba

  1. danganya toto hii , kuonesha kwamba kuna amani , muungano hau..ta…ki…. wiiiiii , hata mfanye cho….cho…teeee, vichwa maji

  2. Hawa walikimbia machafuko ambayo kiini chake ni kukataa kuheshimu verdict ya watu. Ukiiingiliaji wa Vyama vya siasa katika process ya kutengeneza katiba na kutaka maoni ya chama ndio yaheshimiwe unaweza kuleta machafuko mengine. Mimi nashangaa viongozi wa vyama kuhudhuria tena kwa wingi katika mikutano ya kutoa maoni kuhusu katiba mpya. Sijui kuwa wanafahamu kuwa uwepo wao ama ni rushwa au intimidation kwa wanachama wao. Kule Pagali Unguja kwa mfano, kijana moja ambaye pengine aliandikiwa majibu ya kuipa Tume alishindwa kuweka wazi msimamo wake na hii iliwapa TUME fursa ya kutafsiri ujumbe wake watakavyo. Mama mwengine aliyekuja akashindwa hata kutaja jina lake naye pia alifanya madudu na kwa kuwa Viongozi wake wallimsimamia aseme watakalo mama huyu masikini alivurunda kama mtoto ajifunzae sasa kusema! Mtu mwengine alikuja akasema anaweheshimu viongozi waanzlishi wa Muungano kwa kuwa wao si wajinga na kwamba “yeye anaunga Muungano huu huku akisema kuwa unakasoro ingawa hazijui”. Babu huyu wa miaka 70 inashangza kuwa hajui alisemalo! Mwengine alikuja akadai Muungano huku uendelee huku Rais wa Zanzibar akikasimiwa madaraka kamili na akitambuliwa ndani na nje! Sijui walimu wa hawa watu walijua kuwa TUME imekuja kutafuta njia bora ya kuendesha nchi ikiwemo namna ya kustawisha Muungano huu ambao sasa unaonekana haukidhi haja! In the situation where people are treated just like herds of animals you will never have them think critically.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s