Bi Mwanaacha atunzwa tunzo ya heshima

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Heshima msanii mstaafu wa muziki wa Taarab, Mwanacha Hassan Kijole (65) wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa Tuzo hizo za Wasanii bora wa muziki wa Zanzibar wa mwaka 2012, zilizodhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel. Hafla hiyo ilifanyika jana Julai 6, 2012 katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar. Kushoto ni Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Zantel, Zanzibar, Mohammed Baucha

Advertisements

One response to “Bi Mwanaacha atunzwa tunzo ya heshima

  1. Sub7aana llaah..! Hii ndio Zanzibar yetu… Yaani kiongozi mwenye personality kama hio, yeye ndo anakua mbele kwa kuona fakhari kuunga mkono mambo ya kishetani na ya la3na kama haya, kiasi ambacho yeye mwenyewe hujivunia na kuonyesha furaha na upendo kwa watu wanaosambaza ufusqa kama hawa eti (WAIMBAJI WA TAARAB). Na kuacha kuwapongeza wanaostahiki hassa kama kina UAMSHO na mfano wao, na hatimae badala yake ni kuwapiga vita, yaani inakua ni kuzichukua haki kuziweka pasipostahiki…!! Ni sawa na kuchukua biriani inayotoa mvuke na harufu ya kutia appetite, then ukaiweka pembezoni mwa choo cha lindi kinachotoa harufu na nzi wenye kufukuzana kwa speed, na huku zile kanda mbili mbovu za chooni zilizodhoofika zinazotoja maji ukazichukua na kuziweka kwenye sahani ya matunda yaliyomenywa vizuri iliomo ndani ya FRIJI. Utakuta ni vitu visivyofanana, na yeyote ataekuona atakuhesabu umepungukiwa na akili, usie na maarifa ya kuzaliwa wala ya taaluma ya shule. Tunaona sote jamani hao viongozi wetu, eti ndo wanatutumikia huko Tanganyika. Na kazi wanazozifanya ndo hizo za kutuletea maendeleo. Tukomboe nchi yetu kwanzaaa…Mcfanye mambo ya kipuuzi yasiofaa hata kwa Mtoto..!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s