Wananachi waendelea kutoa maoni

Mzee akitoa maoni yake katika Kijiji cha Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja, katika Viwanja vya Skuli ya Michamvi mbele ya wajumbe wa Tume ya Katiba iliofika kuchukuwa maoni ya Wananchi wa Mko wa Kusini Unguja

Advertisements

6 responses to “Wananachi waendelea kutoa maoni

  1. Twambieni walichosema, sisi hatuna haja na sura ya mtu, tunataka tuone utu na uzalendo uliomo nyoyoni mwao. Au kama ni utumbo pia tujue. Ili tufaham zaid, tupate kufunguka kama ni mazuri, na tuwaombee dua wazidishiwe kheri kama walivyoitakia nchi yetu kheri kwa maslahi ya umma, na kama wamesema mabaya kuitakia mabaya Zanzibar yawakute wao hayo mabaya kabla hayo maoni yao hayajapitiiwa tena kuangaliwa, af iwe ndo sababu ya uongofu wao, na wapate fursa nyengine ya kupinga msimamo wao wa mwanzo. Ewe Allah tumurikie zaid ili waweze kuona hadi hao ambao bado wapo ucngzini. Tunakuomba Ibariki Zanzibar yetu, izidi kuja juu kwa speed ya nguvu uliyoipa, bila kusita, na iwe ni historia itayoshangaza watu duniani. Aaamein.!!
    By: Al’rumhy Suleyman..

  2. Nivyema tukafahamu walichokisema na sio vyenginevyo na kama ni marufuku kujua walichosema pia tujue.

  3. Huko ndugu yangu hakuna kisemwacho. Mtu huja akajitambulisha kisha akasema ” Tunataka Serikali mbili na mambo mengine yapo kwenye hii barua.” The Commission itself is not consistent. Wakati Mtende hawakuwauliza watu Kazi na Umri wao Kizimkazi Dimbani niliona wanafanya hivyo. Watu wanaoulizwa licha ya Mwenyekiti kusema maeneo ya kuyachangia na Dr. Mvyngi kufafanua wanatoa mambo kama wako usingizini. Watu hawa wachangia sjui kuwa wanajua kuwa 10,000 wachukuwazo kutoa majibu ya msimamo wa Chama zitawanyima watoto wao miaka 50 ijayo fursa za kujitawala katika nchi yao, fursa za kuishi kama rai katika nchi yao. Katika uzoefu wa hadi sasa kusini Unguja naona ni kuna mahitaji mengi zaidi ya haya yalioundiwa TUME.

  4. Hapa hapana tume wasiharibu pesa za walipakodi wanyonge. Hiyo tume ni uongo mtupu. Hakuna asiyejuwa kuwa hatuutaki muungano. Waheshimiwa kwa mchezo huu VUNJENI TUME NA ENDELEENI KUTUTAWALA MUSIDANGANYE. Lakini ujiti na macho tahadharini kabla ya athari kubwa.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s