Soma gazeti la ANNUUR kila Jumanne

Mwadini Suleiman Juma alipigwa na polisi katika eneo la Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja kabla ya kufika Donge kulikoandaliwa mkutano.

Tafadhali Soma Gazeti lako la ANNUUR 1022

Advertisements

2 responses to “Soma gazeti la ANNUUR kila Jumanne

  1. Mimi huwa nashindwa kujua, kwanini watu wanaogopa kuambiwa ukweli, hata kama sio ukweli kihivyo, lakini kwanini uogope watu kusema,….na watu wengi wanafikisha ujumbe wao kwa maandamano, waacheni waandamane wafanye mikutano, halafu unachukua yale ynayowakera, unayafanyia kazi, Uongozi sio kuwa upo sawa kila mara kuna mengine yanatokea huyaoni, na ili uyajue, ni watu wakuambie….

  2. Ndugu yangu ukisoma Kisa cha Watu Sabah utaona majibu ya masuali yako. Ni kawaida ya Watawala wakiingia katika kitongoji kuleta ufisadi na kuwadhalilisha wenyeji wake. Wakati Wawakilishi wanasema kuwa ” Mamalaka ya kuongoza Zanzibar yapo kwa Wazanzibar wenyewe polisi ambao ni mkono mwengine wa dola inawadhalilsha watu hao.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s