Soma Annuur kila Ijumaa

Sheikh Nassor Ismail wa Istiqama kutoka Dar es Salaaam leo amekuja kujumuiya na waislamu wenzake kuitetea Zanzibar katik msikiti wa Mbuyuni ambapo aliongea mambo kadhaa ikiwa pamoja na kuwataka waislamu wakaze kamba katika kuitetea nchi yao

Kwa taarifa zaidi ya Gazeti hili la Annur. Tafadhali bonyeza hapa ANNUUR 1117

 

Advertisements

6 responses to “Soma Annuur kila Ijumaa

 1. Hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke kwa kuipata JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR basi. Hatutaki kuletewa habari ya vipeperushi vya u-Unguja, u-Upemba, u-CCM wala u-CUF ili kutugawa siasa hizi za Dr. Salimin na Dr. Gharib Bilali hatutaki kuzisikia, kunafununu kuwa Kanisa ndio linalofanya kazi hiyo na CCM Pro-Tanganyika. Tunataka Zanzibar huru sio vyama viziwi msijibabaishe. Tume ikija tuhakikishe njia zote za kuelekea itakapoanzia kukusanya maoni hazipitiki mpaka kura ya maoni inapita kwanza au mnaona vipi? Naomba nirekebishwe kama siko sahihi. Kama niko sahihi basi wengine tuendeni mpaka ndani ya ukumbi na tuhakikishe Warioba anatokea dirishani, tusijali ulinzi aliopewa wao ni watu na sisi ni watu.

  MUUNGANO HATUUTAKI.

  JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.

  “When peace fails apply force”

  Nawasilisha.

  SERELLY.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s