Leo ni siku ya mazingira duniani

Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akitoa taarifa kwa Wanachi kupitia vyombo vya Habari mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko kisiwani Pemba.

Advertisements

One response to “Leo ni siku ya mazingira duniani

  1. Wito wa kutunza Mazingira Serikali inaoutoa kwa hapa kwetu ni sawa na kelele za Mlango ambazo hazimnyimi mwenye nyumba usingizi. Wakati huu tukiadhimisha siku hii inabidi sote tutambue kuwa kila mtu ana nafasi katika kuifanya dunia hii iwe yetu na vizazi vinavyokuja. Watu wengi hawaoni uhusiano uliopo baina ya maisha yetu na mazingira.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s