FBI haihitaji kibali cha JK kuingia Unguja

Picha hii ni miongoni mwa picha zilizopigwa wakati wa matukio ya fujo zilizotokea wiki iliyopita Mjini Unguja ambapo vijana wenye hasira waliweka magogo na kuwasha matairi ya gari kuonesha hasira zao dhidi ya jeshi la polisi baada ya kukamatwa Sheikh Mussa Juma na kuweka katika kituo cha Madema

Soma gazeti lako la ANNUUR 116

 

Advertisements

7 responses to “FBI haihitaji kibali cha JK kuingia Unguja

 1. Two-in-one hii ni sifa mbaya sana kwa mwanaadam mwenye akili timamu. Hali hii inadhihirika pale mtu anapokosa msimamo wa nafsi yake. Mara UWAMSHO wabaya mara WEMA mtu hana msimamo. Iweje watu wanadai haki ya kisheria baadhi ya watu wanachukia hii inashangaza sana. Lakini niulize swali.
  Mwanzo kabisa ya MUUNGANO raisi wa Zanzibar kikatiba alikuwa ni Makamo wa raisi wa TANZANIA sasa hivi nafasi hii imeondoshwa je anayeipigia mbio nafasi hii na nyenginezo kurudi na anayefurahia kuchukuliwa nafasi ni nani anania njema kwa Zanzibar?
  Tuacheni ujinga bandari leo ipo wapi,jeshi leo lipo wapi,fedha yetu leo ipo wapi,mamlaka ya rais wetu leo yapo wapi,utamaduni wetu upo wapi? Je ww unayepinga UWAMSHO unafurahaia hali hii?

  • Sadakta:
   Kuna watu wachache wasioitakia mema Zanzibar yetu, hadi hapa tulipofika roho zinawauma. Yaani wanatamani turudie katika hasama za kisiasa.
   Ndio hao unaowasikia leo hii wanawasema Uamsho. Hawa ni wale wasioweza kupata madaraka Zanzibar bila ya mgongo wa muungano.

   Muungano umetufikisha pabaya, hatuna budi kuukataa kwa nguvu zote.

   DHULMA HAIDUMU. MUUNGANO BASI…TUNATAKA ZANZIBAR YETU.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s