Waislamu wakaa itikafu usiku wa leo

Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar kwa kushirikiana na taasisi za kiislamu zitafanya itikafu maalumu leo hii usiku kucha katika msikiti wa kidongo chekundu Mjini hapa

Advertisements

4 responses to “Waislamu wakaa itikafu usiku wa leo

    • weye utaamka maisha mana umejiumba mwenyeo kenge ww
      inshallah kheri atakae lala fasi utakuwa ni ww na wazee wako mana hamjitambui km mumekhasirika hapa ulmwenguni na akhera

  1. SAWA SAWA MUWAMSHO MPAKA KIWELEWEKE HAPA MSIRUDI NYUMA KWA KUOGOPA JESHI LA POLICE .LA MSINGI NI KUFATA SHERIA NA KATIBA YETU .

  2. unasema uamsho tutalala wakati wewe apoulipo ume lala na sijui kama uta amka lakini mungu anamuongoa anaemtaka pengine unatumiwa na tanganyika ndo mana unasema ivyo lakin utapo maliza oda yako ukuja.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s