Sheikh Farid leo apandishwa mahakamani

Kiongozi wa Maimamu Zanzibar, Farid Hadi Ahmed akiongea na waumini katika msikiti wa Mbuyuni Zanzibar jana baada ya sala ya alaasiri. Sheikh Farid leo amefikishwa mahakamani na yupo nje kwa  dhamana ya shilingi laki tatu na wadhamini wawili

Advertisements

4 responses to “Sheikh Farid leo apandishwa mahakamani

 1. Hii ilitokea lini na saa ngapi naona kimya kimya au askari wameogopa?
  Police laziama muwaheshimu MASHEKH wetu sio muwachukue kama majambazi au wahuni walaunga mukome na bosi wenu IGP Mwema, la sivyo Zanzibar haitakalika.

  • kweli wewe akili yako ni ya Mende kama jina lilivyo! kuwavamia masheikh wetu usiku wa manane na kuwakamata ndo kupevuka!

 2. Hivi ndivyo ilivyo kwa muislamu akiwa hanahuruma na ndugu zake waislamu.

  Kiongozi ni mtumwa na mtumishi wa wananchi na sio bosi mlemavu wa kufikiri ndani ya uzinifu wa mawazo akingojea kila wazo wachumba wake Watanganyika wamhonge.

  Jamani mimi nimeshangaa sana, hivi inaingia akilini kweli kuwa makanisa yaliyochomwa, mfano la Kariakoo limechomwa na (CCM kwa usafiri wa gari ya Borafya Mtumwa Borafya) eti na watu wasiojulikana serikali haraka haraka imeamua kuzichukuwa pesa za walipa kodi waislamu wa Kizanzibari kuyalipa makanisa. Wakati askari wa Kitanganyika mara tu baada ya kuletwa hapa wameupiga mabomu msikiti mpya uliojengwa kwa gharama kubwa uliopo Msumbiji njia ya kutokea Kwerekwe kwenda Amani na kuvunja vioo madirisha na milango, wachilia mbali serikali kulipa uharibifu huu ilioufanya yenyewe basi hata kuutangaza kama ilivyoyashikia bango kwa kuyatangaza makanisa kwenye vyombo vyake vya habari ZBC eti imeshindwa?

  Pupa, uroho wa madaraka, kujipendekeza kwa makafiri na kuwaogopa Watanganyika kunakukufurisheni kina Moh’d Aboud. Ni aibu kwa waislamu kufika hapo.
  Lakini kufa kwaja.

  Na nyinyi wakristo yaacheni mambo hayakuhusuni la kama mnajiona mnayaweza haya kazi kwenu, mkitukera hapa ni Acid kwenda mbili. Kaeni mtulie hatuna ugomvi na nyinyi.

  Halafu hii tabia ya kukimbilia Izrael kwa mayahudi hii mtakuja kujuta na ujinga wenu someni vitabu muache uvivu nyinyi SMZ eeh! Haya!

  Hamjaona mmekimbilia hapo kwa mkatoliki Nyerere tu mambo ndio haya mkwamo juu ya mkwamo mpaka wanakwambieni Zanzibar sio nchi hvyo serikali yake ifutwe, sasa kwa yahudi hapo ndio mwisho mtaona.

  Mfano, itakumbukwa kwa wale wafuatiaji wa mambo pale waizraeli walipoishambulia manuari ya kijeshi ya Marekani katika bahari ya Meditarrania kwa ndege za kijeshi za fighters na kuwauwa wanajeshi chungu nzima wa kimarekani na kuhairibu vibaya meli hiyo kisha wao ndio wakawa wa kwanza kulitanga tukio hilo kuwa limefanywa na muslimu brotherhood (Ikhwaanul-Muslimina) lengo lao ni kuutaka ulimwengu uwachukie muslim brotherhood ambao wanaonekana kuwa na nguvu za kuunawirisha uislamu ndani ya Misri.

  Ktk kipindi hicho Waizraeli walipanga na kutekeleza matukio ya uripuaji wa balozi za uingera na ofisi nyengine ndani ya Misri ili Mataifa hayo makubwa yaweze kushirikiana na Raisi wa Misri Hussn Mubaarak kuwaangamiza muslim brotherhood, lakini Allah akafichua siri hizi pale mmoja wa makachero wa Izrael lilipomripukia bomu kabla ya kuufikia ubalozi na alhamdulillah ndani ya makabrasha yake alikuwa na nyaraka za siri zikiwemo za ule mpango wa ushambuliaji wa manuari ktk mediterrania ikawa aibu na lawama kubwa za ulimwengu zikaiandama Izrael.

  Mifano ni mingi. Lakini LENGO langu, narudia tena lengo langu ni kuwataka wale waliokaribu na viongozi wa juu SMZ-SUK wakatazeni na mkatazane mara moja kuwakaribisha Waizraeli katika siasa za ndani za Zanzibar.

  Laa kama wataendelea kina Balozi Seif Ally na Moh’d Aboud kwenda kujipendekeza Izrael, matukio ya kigaidi ya kubuni yatazidi Zanzibar na UAMSHO itageuzwa na kuitwa Al-qaedah na mwisho AMISOM na AFRICOM zitaingizwa Zanzibar kwa kisingizo cha ihisani ya kulinda amani Millitary Base (Kambi za Kijeshi) za Marekani zitajengwa Zanzibar to exploit oil na kuwahujumu wa Waislamu.

  Pamoja na matatizo yote ya Nyerere lakini alikuwa hapendi hata kidogo wayahudi kutokana na matukio yao ya hujuma za kihistoria kama hayo niliyoyata hapo juu, na aliwafukuza Tanganyika wakaelekeza uhusiano mkubwa Uganda na Kenya na hata hivyo UN kabla haijawapa baraka zote za kuikalia kimabavu ardhi ya Palestine walitaka waidhinishiwe ardhi ya Uganda kw sababu ardhi yenye rutuba, ziwa victoria na mto Nile ili wajiimarishe kiuchumi zaidi, ingawa baadae waliamua kuwa watengenezewa taifa lao katika ardhi ya Palestine ili kuihuisha historia ya maisha ya wazee wao wakikusudia Nabii Ibrahimu etc. Lakini hata leo bado wanaimezea mate Uganda na Afrika Mashariki kwa ujumla. Kwa hivyo Zanzibar tunajipeleka wenyeeewe kwenye domo la mamba.

  Pia kwa wale wanaofatia historia ya siasa za Zanzib kabla ya mapinduzi na hata kidogo baada ya mapinduzi wanajua ni kwa namna gani Izraeli ilijaribu jaribu sana kuzitia mkono siasa za Zanzibar, kweli haikufanikiwa
  sana lakini kwa mkao huu wa kina Balozi Seif Ally na Moh’d Aboud kuikaribisha Izrael katika mambo ya ndani naona ni wakati pekee wao mayahudi kupanga mipango yao Zanzibar. Itakumbukwa namna walivyovisifu vitambulisho vya Zan ID kuwa ni pekee Afrika nzima the question should be why they are praisng us? Are we really competents enough to be appraciated by the Zionists?

  Qur-an nyuma Dunia 1 approach, haya ndio madhara yake. Wao wanaona pale Allah {s.w} alipokuwa akituhadharisha dhidi ya mayahudi kama alikuwa anajifurahisha tuuu! Lakini waitizam Pakistan leo mambo vipi? Raia wameuliwa weee Jeshi limekaa kimya pamoja Serikali lakini mwisho Serikali na Jeshi wamegeukiwa.

  MUUNGANO HATUUTAKI.

  JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.

  “Whean peace fails apply force”

  nawasilisha.

  SERELLY.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s