Kanisa lachomwa moto Zanzibar

Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) liliopo mtaa wa Kariakoo mjini Unguja limechomwa moto jana usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana

Advertisements

6 responses to “Kanisa lachomwa moto Zanzibar

 1. Chinja, uwa hawa wakristu au waende kwao Tanganyika tutalipa kisasi kwa hao makafiri na tutaendelea hata kama polisi watapiga mabomu.
  Hatuutaki muungano Sheni, Sefu Sharifu, sefu Idd na vibaraka wote wa Tanganyika.

 2. We salma una akili unajua Kuwait unachochea nawe tunatarifa zako Kuwa ni miongoni mwa viongozi wa uamsho una maisha mini kuruhu Email ya chinja ua no bara wakisema chinja wapemba nani wataathirika Kuwa making wacha ushabiki salma

 3. Tunasema tena na tunasisitiza kwamba UAMSHO haihusiki na uchomaji moto wa Makanisa, kwasababu tayari kumekuwepo na hila za Wakristu tokea harakati za Uhuru wa Zanzibar kunza na wamekuwa wakifanya hila nyingi ili waonekane wanatengwa na kubughudhiwa na hata kuyachoma moto makanisa yao wenyewe (mfano kanisa la mwera wilaya ya magharibi) na kuwashtumu waislam kumbe walikuwa wantaka msaada wa kulitanua.

  Hili tokeo la jana ucku tayarii tuna kila aina ya ushahidi ya kuwa wao wenyewe (wakristu) ndio walichoma moto kanisa lao kwa kutumia vurugu zile na kuwataja waislam kama ndio walochoma, huu wa wakristu ni upuuzi wala hauingii akilini kwanza, kwa kuzingatia kanisa lipo kwenye kambi kuu ya polisi, na pia kama kweli waislam walikusudia kuchoma moto basi lisingali baki hata udongo, lakini cha kushangaza mara baada ya moto dakika chache fire walikuja kuonesha kuwa ni mbinu ilioratibiwa vizuri na hasa ukichukulia masafa ya kambi ya fire iliko si rahisi hata kidogo kuwahi kuuzima moto huo.

  Na ikiwa wakristu wamechoka kuishi na wazanzibari bora warudi huku Tanganyika wasisababishe uvunjifu wa amani na vijikesi vya kipuuzi kama hivi.

 4. Chonde Chonde Waislamu Wenzangu Tusithubutu hata siku moja kuchochea mauaji au kuleta vurugu zozote na kuhusisha dini. Vita vya Kidini ni vibaya mmno jamani tuziangalie familia zetu kwanza. Pia tukisema Tuwafukuze hao watu wa Bara Je bara hakuna Uislamu? Je Bara kule Ndugu zetu wangapi wanasoma, wanafanya kazi, Biashara, kuoa au kuolewa huko?

  Tumuombe Mwenyezi Mungu atuepushe na hili jamani. Tuangalie nchi za wenzetu wasivyo na amani kwa migogoro.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s