Miaka miwili ya Taasisi ya tushikamane pamoja Foundation

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi ya ua mmoja wa wanachama wa Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation’, Joha Simba, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee

Advertisements

5 responses to “Miaka miwili ya Taasisi ya tushikamane pamoja Foundation

 1. Kama si fitina za mlengo wa kushoto na kukingiwa kifua na Watanganyika, wasomi hawa walikuwa wawe viongozi a Zanzibar. Lakini kukaja kupeana kwa lengo la kudhibitiana. Sasa wazanzibari wwako pekee yao katika kudai nchi yao wakati viongozi wengine masahiba wakubwa watanganyika wameamua kukaa kimya na kuogopa hata kuujua msimamo wao.

  Kwa mtaji huu, Watanganyika hawatuachii ng’o

 2. Haw wote wamepelekwa Tanganyika kwa maslahi kwani hawawezi kuinua midomo yao kwa kuitetea Zanzibar bali watatetea chama na watanganyika tu.Ila sisi wazanzibar hatutegemei viongozi kuwa watetezi wetu hao hutetea chama na maslahi yao binafsi sisi tumesimama kwa Allah[sw] tu ndie mtetezi wetu na ndio maana tunamuomba kwa dua mara kwa mara.

 3. Moh’d Gharib Bilal kwa mpango huu mjomba kariiibu mke utanyang’anya na wa-Tanganyika, na hapo nadhani ndio utakapotanabahi na kuungana na Wanzibari kudai nchi. Hii ni kwa sababu miaka yote uliyoishi Zanzibar kama Waziri Kiongozi huyu mkeo hatujamuona kuvaa hivi, lakini leo kashaanza kuwaonesha wa-Tanganyika shingo na hijabu imeanza kuwa ya utosini utosini tu, kesho atawaonesha kifua, kesho mpasuo na kesho na kesho kutwa suruwali na jeans ndani ya beer, na mwisho utasikia kachukuliwa na bwam-Mizengo Kayanza Peter Pita a.k.a “zanzibar nchi”.

  Sijui na hapo utaendelea kukenua meno na kuusifu muungano au sijui vipi?.

  MUUNGANO HATUUTAKI

  “When peace fails apply force”

  Busara ikishindwa kukuletea haki yako tumia nguvu.

  Nawasilisha.

  SERELLY.

 4. Moh’d Gharib Bilal kwa mpango huu mjomba kariiibu mke utanyang’anya na wa-Tanganyika, na hapo nadhani ndio utakapotanabahi na kuungana na Wanzibari kudai nchi. Hii ni kwa sababu miaka yote uliyoishi Zanzibar kama Waziri Kiongozi huyu mkeo hatujamuona kuvaa hivi, lakini leo kashaanza kuwaonesha wa-Tanganyika shingo na hijabu imeanza kuwa ya utosini utosini tu, kesho atawaonesha kifua, kesho mpasuo na kesho na kesho kutwa suruwali na jeans ndani ya beer, na mwisho utasikia kachukuliwa na bwam-Mizengo Kayanza Peter Pita a.k.a “zanzibar si nchi”.

  Sijui na hapo utaendelea kukenua meno na kuusifu muungano au sijui vipi?.

  MUUNGANO HATUUTAKI

  “When peace fails apply force”

  Busara ikishindwa kukuletea haki yako tumia nguvu.

  Nawasilisha.

  SERELLY.

 5. asha bilal,mwanamema shein,asha sefu idd,salma kikwete huu ni ujinga wa kutupwa hivi hawa wote hawana baba?kitabu gani kinasema mtu akiolewa ajinasibu na jina la mumewe?je akiachika ataendelea kutumia jina hilohilo au atarudi kwa baba yake?hakika ukiwa muislamu tambua ya kwamba umo ndani ya neema kubwa.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s