Rais Kikwete na wajumbe wa tume ya katiba

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(Wanne kushoto Mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya kuratibu maoni ya Katiba wakati alipotembelea ofisi za tume hiyo Jijini Dar Es Salaam

Advertisements

3 responses to “Rais Kikwete na wajumbe wa tume ya katiba

 1. hii tume ni geresha tu , haina lolote , hawa akina dr salim na wenzake zaidi ya matumbo yao hawaoni chochote , wataisaliti znz , na mara hakuna kuhurumiana wala kuoneana haya , wakichemsha wajitayarishe na joto ya jiwe , hakuna hata mmoja aneyeishi mbinguni , tukiwakusudia tutawapata tu

 2. AAW/Wabarakaatuh

  Mimi kwa akili yangu huru naamini Zanzibar maoni hayachukuliki, hayachukuliki tena hayachukuliki na kama Tume haiamini naije. Pamoja na kuwa Muungano hatuutaki lakini tutauonesha ulimwengu kuwa maoni ni haya tu “MUUNGANO HATUUTAKI KABISA KABISA” tunasubiri hiyo ratiba yenu muitoe.

  Shime Wazanzibari tudai kura ya maoni juu ya Muungano huu kabla huu msafara wa biringisha mavi na siafu haujafika Zanzibar.

  Kama kura ya maoni watakataa kutuitishia, nasema tena kama kura hatutaitishiwa basi twendeni kwenye tume kwa wingi wetu na hoja zetu kwa wingi kuwa Muungano hatuutaki taki taki.

  Tuvinukuu vipengele vyote vinavyoonesha ukharamu na ubatili wa Tume kikatiba kwa kuwa ilitakiwa mswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba upelekwe kwenye BLW yaani Baraza la Wawakilishi mara baada ya kutoka Bungeni lakini Wafalme wetu wa Tanganyika walikataa wakati katiba zote mbili yaani ile ya Zanzibar na ya Tanganyika (Tanzania) zinalazimisha kuwa sheria yeyote ile itakayotungwa na Bunge na kutumika hadi Zanzibar ni lazima ipelekwe kwenye Baraza la Wawakilishi ijadiliwe, ikosolewe ipunguzwe au iongezwe halafu kama wataipitishwa wajumbe wa Baraza 5a Wawakilishi ndio itakuwa sheria halali kutumika hapa Zanzibar.

  Je! Hilo lilifanyika?

  Je! Wafalme wetu (Watanganyika) walisahau, hawalijui au vipi?

  Basi ndugu zangu siri ndio hiyo, Tume hii automatilly ni batili na haramu kuchukua maoni hapa Zanzibar.

  Sasa tuwe majisiri kuwaambia wanatume uso na macho kuliko tulivyowapa ki-Samuel Sitta ukweli pale Bwawani na Haile, binafsi nitajitahidi kuvidokeza vipengele hivyo hapa ukumbini ili kila mtu avijue mapema. Hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke.

  MUUNGANO HATUUTAKI.

  JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.
  Dawn in Zanzibar.

  Nawasilisha.

  SERELLY.

 3. Serely ndugu yangu Sheria namba 8 haikupita Barazani kutokana na kuwa Zanzibar ni constituency ya Jamhuri ya kisheria na kitu kikipita katika Center – Periphery haina nguvu ya kukizuia. Kuitumia hoja hii inabidi tuwe makini. Ni bora tuinyamaze kwa Wanasheria wetu wanaijua na ndio mana wamenyamza kimya. Tujitahidi kutafuta njia nyengine lakini hii ya kunukuu vipengele haitoshi

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s