Soma Annuur kila Ijumaa

Soma Gazeti la Bonyeza hapa ANNUUR 111. Waumini wa dini ya Kiislamu wakisali sala ya Ijumaa ya pamoja na kuomba dua katika viwanja vya Maisara. Dua hii imetayarishwa na Taasisi za Kiislamu kwa kushirikiana na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI).

8 responses to “Soma Annuur kila Ijumaa

 1. Pingback: Wazanzibar wabaa kutokurudi nyuma kudai uhuru wa nchi yao kutoka kwa Utawala wa Mabavu·

 2. Huu umma unataka uhuru wake kama mkijitia pambani mtawajika shauri yenu.
  Ukweli waliomo ndani ya picture hii mara nane labda sawa sawa na idadi ya waliohudhuria, hio ni mbali na malaika waliohudhuria ili kumpelekea Mfalme wa wafalme aliyoko Ktk Arshi Kuu (IKULU)
  Moh’d (Madudu) Aboud upo ?
  Etu kikundi kidogo ! Viongozi waongo basi tenaaa.

  MUUNGANO HATUUTAKI.

 3. Ama kweli mtu akikosa la kusema…… ati wenye kuukataa muungano(muumbuano) ni wachache tu! bilal ,shamhuna zisomeni nyakati MUSAameshazaliwa utawala wa firauni sasa basi! Mutaadhirika . leo niwakumbushie yuko wapi husni mubarak zainudin bin ali jee! usimsahau ghadafi. si picha ya kuugwa kama za wanasiasa! enyi viongozi tanabahini muungano hatuutaki! tumeyeni madaraka na muda wenu vizuri!

  • @Abousalah
   Kaka hawa vibaraka wa Tanganyika washatupima wanajua zaidi ya mihadhara hatuwezi kufanya zaidi ya hapo, Lakini Waznzbari tunatakiwa tutafune jongoo kwa kudai uhuru wetu la si hivyo hawa Sefu iddi, Abudi, Bilal, Shamhuna, Samia, Mwinyi Haji Makame na wahuni wengine hatatuelewa tunataka nini au mnasemaje Wazenji ?

 4. EWE MUUNGU TUPE UWEZO WA KUUVUNJA MUUNGANO WA TANZANIA. Wazanzibar hatuutaki muungano na MAKAFIRI WEUSI WA TANGANYIKA.

 5. Ni kweli hawa viongozi wanafikiri hivyo na si wao tu hata Tunisia, Misri, Syria n.k walidhani hivyo. Ama sisi tunatakiwa tujue kama alivyosema mwanafalsafa mmoja wa ki-Asia kuwa “WHEN PEACE FAILS APPLY FORCE” Yaani “PINDI NJIA YA AMANI INAPOSHINDWA (KUKUPATIA HAKI YAKO) TUMIA NGUVU” Kwa hivyo Wazanzibar ni mapema mno kusema kuwa njia za amani zimefeli ila tuendelee kutumia njia za amani na nguvu ya hoja katika kuidai haki yetu, mfano sasa ya kura ya maoni wameikataa au wameipitisha lakini wakaiba kura zetu na hivyo ku-justfy (wakathitisha) zaidi kuwa eti Muungano unatakiwa sana sana ZNZ hapo itatubidi kuchukua hatua kali zaidi sikusudii kumwagadamu moja kwa moja kwani hilo najua sijambo gumu kwa sababu halihitaji bunduki na mabomu lakini mafuta na vibiriti vinaweza kubeba jukumu ipasavyo mpaka tukafikia lengo, lakini madhara yake ni makubwa kwa hivyo ni vyema kuifanya kama last alternative and drast measure {hatua ya mwisho}. Viongozi wa Dini yetu na Serikali wenye uchungu na jamii pamoja utamaduni wake {UISLAMU} shime kupanga mipango ya kutoa na kujumlisga leo kwa ajili ya utekelezaji wa kesho kwani Kanzu Ijumaa ya hufuliwa Alkhamisi.

  Nawakilisha.
  MUUNGANO HATUUTAKI.

  Abdul-rahman Serelly

 6. Abusalah amani haipatikani kirahic angalia mtume swalla llahu alaihi wa sallam alivyoikomboa maqqa baada ya vita ijapo kuwa waislam hawakuwa na nguvu lakini waliingia uwanjani wakaambatanisha na dua sasa cc tunaomba dua tupu vp tujipangeni kweli kupambana na hawa madhalim naomba uupeleke huu ushauri kwa viongozi kwamba hawa hawa tuogopi bcouse hatuna silaha za kupambana sasa tucone tabu kuomba msaada kwa waislam wenzetu wanapigania jihad km vile alqaidah alshabbab na boko haram ikiwezekana tuungane nao hasa kwa ajili ya mapambano kwani hawa jamaa wanautikisa ukafiri duniani

 7. Viongozi wetu wa Zanzibar ndio wa kulaumiwa kwa kuibuka “discontent” hii kubwa kuhusu Muungano. Mambo mengi yaliyochangia kuibuka kwa hii dhana ya kudai kutoka kwenye Muungano yanauhosiana na ugumu wa maisha ambao unachangiwa na mambo mengi ukiwemo Muungano. Ivi kweli ni kwani Wakubwa zetu walishindwa kuweka misingi ya ujenzi imara wa Uchumi na badala yake wakakimbilia uchumi unaotegemea huduma ambao unatoa ajira chache tu na kuwaacha waliowengi wakiwa hawana kazi.

  Ivi ni kwani Serikali yetu imeendeleza dhana ya kuwa Zanzibar ni “Welfare state” huku uwezo wake ukiwa mdogo kubeba kazi hii. Ivi ni kwani badala ya kundeleza ujasiri amali inaunda Wizara ya Utumishi na huku ikiajiri tuu watu wa Vikosi, Walimu, Watumishi wa Afya wengi wao wafaigiaji na wachache wataalamu.

  Ivi kati hali ya uchimi duni SMZ yawezaje kuajiri watu katika kada ya ufagiaji. Kazi hii ya kusafisha maofisi inegeweza kabisa kufanywa kwa mfumo wa “Outsourcing” ambao haujaanza hapa kwetu na sijui kwanini.

  Ivi ni kwani Serikali hii yenye hali ngumu ya uchumi magari yake yanakwenda mazikoni, arusini, na dayouts huku overhead expenses zikilipwa na hazina? Serikali tajiri leo hazifanyi tena mchezo huu.

  Mashekehe wanazungumza Muungano kwa kuwa viongozi hawakuuzungumza. Katika hali hii ni bora waachwe wauzungumze Muungano kwa kuwa kuwazuia kutapelekea wabadili mada na hii itawaathiri viongozi wetu kisiasa kwa wana mengi ya kuzungumzwa na watu.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s