Sala ya pamoja leo Maisara

Sala ya pamoja iliyosaliwa leo katika viwanja Maisara iliyotayarishwa na Taasisi za Kiislamu Zanzibar.

Advertisements

8 responses to “Sala ya pamoja leo Maisara

  1. Ya-rab tukubalie dua zetu kwa kuwaangamiza vibaraka wa TANGANYIKA. Pia, yaarab tuvunjie muungano wa TANZANIA unaowatesa wazanzibar.

  2. Nina wasiwasi na hii picha si ya swala ya leo na wala haifanani kabisaa, kila nikiiangalia haingii akilini na hali halisi ya leo.

  3. Eti wanasema wanaopinga muungano ni kikundi kidogo cha watu!umma wote huu hawa wote washachoka na muungano huu wa big brother na small brother.mm na inanishanga anatoka kiongozi hadharani na kusema wanaoendesha mihadhara wana wakashifu waasisi wa muungano kisa nyerere kapewa haki yake.sasa hii ni lazima popote litakapo tajwa jina lake mpeni haki yake nayo ni hii LAANA TUL LLAH.M/MUNGU anasema katika kitabu chake kitukufu ALAA LANATUL LLAHI ALAL KAAFIRIIN.

  4. Asalamu alaykum! musilaumu sana kuhusu picha! moderator wetu ni dada yetu bi salma said! kutokana na mila na desturi zetu za kiislam hawez kwendu kwenye ummah wa wanaume kupiga picha! aliyenapicha nzuri anaweza kumeikishi tumia anuani yake kwenye mtandao. wabillah taufiq!

  5. Muungano hatuutakii taki taki takiiii!. Hee jamani kumbe kuzungumza na mbuzi tabuu. Mimi nilikwambia Moh’d (Madudu) Aboud hamumtishi mtu hapa, umetuona? Hatukuogopi wewe tunamuogopa Allah sio wewe bosi masharubu mgombana na wenye ndevu.

    Toba yako na ustath wako Seif Ali Iddi na kuwatetea wazanzibari leo sio kesho maana mambo yakienda sawa nyinyi nyinyi mtakuja kujifanya wazaaleeendo. Hatutakubali wakati huo.

  6. Mwenyeenzi muungu tujaalie uipokee duwa hii ya leo na utuletee mafanikio mema. Uuvunje muungano huu wa kidhalim na utupe Zanzibar yetu yenye nuru. Mungu wajaalie nguvu na uwazidishie imani viongozi wetu wa UAMSHO wazidi kutetea haki ya wazanzibar. Na hao mafisadi na madhalim uwaangamize. Amin. HATUUTAKI MUUNGANO.

  7. Aww. Ama kwa hakika huu ni mfano mzuri,na ni ujumbe tosha kwa serekali ya Tanganyika kwamba tumechoshwa na Muungano wao.Lakini inanishangaza kwamba kuna baadhi ya watu hadi sasa hawaja elewa kwamba Muungano unatutesa.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s