Serikali yasema mihadhara na makongamano sasa basi

Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohammed Aboud Mohammed leo amezungunza na waandishi wa habari Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeeleza kuwa Tume ya marekebisho ya Katiba iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi imezinduliwa rasmi leo na Mawaziri husika na kuanzia sasa itaanza kazi yake rasmi ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu marekebisho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Akitoa taarifa rasmi ya Serikali Ofisini kwake Vuga mbele ya waandishi wa habari, Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohammed Aboud Mohammed amesema katika kufanya kazi zake Tume inaongozwa na hadidu rejea mahasusi ambazo madhumuni yake ni kupata maoni ya kuwa na Katiba muafaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Amesema maoni yatayotolewa nje ya hadidu rejea yanaweza kusikilizwa na Tume lakini inaouwezo wa kuyakataa, hivyo ni vyema wananchi wazingatie sana msingi huo.

 

Waziri Aboud amesema kabla ya kuanza rasmi kwa kazi za Tume, baadhi ya vikundi vya kijamii na taasisi zisizo za kiserikali zilikuwa zimeanza harakati za kushajiisha na baadhi yao kuelimisha wananchi juu ya suala zima la maandalizi ya Katiba mpya, hivyo serikali imetanabahisha kwamba kuanzia sasa kazi ya kuelimisha, kushajiisha na kuhamasisha wananchi juu ya maandalizi ya katiba mpya yanapaswa yafuate utaratibu maalum uliowekwa katika sheria ya marekebisho ya Katiba ya mwaka 2012.

 

Amesema sheria hiyo inawataka watu, vikundi au taasisi zinazotaka kuendesha programu za kujenga uwelewa kwa wananchi kuhusu suala hili kutoa taarifa kwa maandishi kwa Tume, au kwa niaba yake kwa Mkuu wa Wilaya, au Afisa Tawala wa Mkoa, au Mkurugenzi wa Manispaa au Katibu wa Halmshauri za Wilaya na katika taarifa hiyo ielezwe wazi chanzo cha fedha za kuendesha programu hizo, tarehe, muda na pahala patakapotumika na mada zitakazotolewa na kujadiliwa.

 

Ameongeza kuwa baada ya kupata ruhusa ya Tume na iwapo programu hizo zitahusisha mikutano ya hadhara, maandamano au mikusanyiko ya aina yoyote ya watu ni lazima Sheria za nchi zinazohusika na mikutano ya hadhara zifuatwe kwa kutoa taarifa na kupata ruhusa ya Jeshi la Polisi.

 

Taarifa hiyo imesisitiza kuwa mtu ama kikundi kitakachoendesha shughuli ya kuelimisha wananchi kuhusu Katiba mpya bila ya kufuata utaratibu uliowekwa adhabu ya kosa hilo ni kifungo kisichopungua mwaka mmoja au faini isiyopungua shilingi milioni mbili au adhabu zote mbili kwa pamoja hivyo imewataka wananchi kufuata sheria ili kuwaepusha kuingia katika makosa..

 

Waziri Aboud amesema ili kulinda amani, utulivu na umoja wetu, Serikali inawahakikishia wananchi kwamba itachukua juhudi zote ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa yenye utulivu na amani na vyombo vya ulinzi na usalama vitakuwa makini kuhakikisha kuwa wale wote wenye lengo la kuvunja amani wanadhibitiwa na kuchukuliwa hatua zinazostahiki. Hivyo amewaomba wananchi wote kujitokeza kwa wingi kutoa maoni yao kwa Tume kwa mujibu wa taratibu zitakazowekwa na Tume.

 


31 responses to “Serikali yasema mihadhara na makongamano sasa basi

 1. Wee mwanaharamu kamwambie mkeo na mamako na babako maneno hayo tuko tayari kwa lolote lile tutafanya mihadhara kwa vyovyote iwavyo kama mna uwezo wa kuuwa tena tuko tayari kufa kwa hilo inshaalah.

 2. Inasikitisha kumsikia naibu wa makamo akisema maneno haya. Wazi kabisa kuwa tunarudi kwenye udikteta wa chama tawala. Sisi hatukubali katu kurudi kwenye udikteta wa chama kimoja. Lazima paheshimiwe haki za wananchi kutoa maoni yao japokuwa mengine viongozi watakuwa hawakubaliani nayo. Mohamed Aboud, damu ya wazanzibari iko mikononi mwako.

 3. Kikundi cha wahuni wachache(serikali)inaonekana wameamua kufanya tena mauwaji safari hii wakishirikiana na ndugu zao wa waliowaulia ndugu zao miaka kidogo nyuma(cuf)lakini itakua piga nikupige hatukubali kwani hakuna nchi ilogomboka bila wahanga na wahanga ndio sisi tupo tayari.

  • Sisi tutasaidiwa na ALLAH. Huyu ndie mkombozi wetu. Wala usihofu kitu tutashinda tu na kwa kauli moja tunasema hatuutaki huo muungano.

 4. Aboud we wawapi? Sasa wewe unaongelea wananchi wapi wananchi ndo sisi tunaokwenda kwa uamsho au huoni ata kusikia husikii? Hatuutaki muungano au unataka maandamano ushauri kwa uamsho uwanja wa malindi uwe ndio tahriri yetu twendeni na tusiondoke tena mpaka kieleweke.

 5. HATA BADO SI MUMEWAEKA MAHABUSU WAPIGANAJI JIHAD 12. Basi sasa mutaua wazanzibar milioni 2 kenge moh’d aboud ulijue hilo

 6. Wanajuana vyema hao na wataulinda muungano kama mwanzo, na wala sioni faida ya kutoa MAONI,Mana mwisho wa yote watafanya watakavyo wao na si watakavyo wananchi.

 7. Moh’d abud .wazanzibar ndo sisi tena wewe yanakuhusu nn? Hebu jiheshimu sisi “tumechoka” usione uko hapo wengi washakaa na washaondoka sawa. Sisi ndo tunokufa njaa sio ww unasema nn? Wanaokutuma wanakuposha basi huoni hata aibu kwa wanzibar au ww mtu wa “uko” hunalazimisha muungano “hatutaki”hatutaki” tunamkumbuka dk salmini (mtanikumbuka) koti gani? ili chafu linatubana, linanuka hatutaki.

 8. nafikiri umefika wakati mbadala kwa hawa wanafiki kina aboud , seifu iddi kupigwa risasi za miguu na kugomewa kwenye mikutano au kwenye mikusanyiko yoyote basi wananchi watoke wawagomee ili kuelewa kuwa watu wamechoka na muungano

 9. WAZIBAR HATUMTAMBUI MOH’D ABOUD KAMA NI KIONGOZI WA ZANZIBAR MOH’D ABOUD NI MTU MAARUFU SANA BARA KWA KAZI YA KUUZA MKUNDU. Mbwa wewe shika adabu yako kama ulivyoikoma dam ya hedhi ya mama yako nguruwe msenge we kama mkundu unakuwasha njoo malindi tutakufira.

 10. Malindi ndio uwanja wa tahriri wa zanzibar twendeni tusisubiri tena ata viongozi kule misri wananchi wananchi wakihisi kuna jambo linawakera wanamiminika tahriri hawasubiri kiongozi yyte mashauri kesho baada ya swala ya ijumaa twendeni tahriri.

 11. Mheshimiwa kuwa na uzalendo wa nchi yako na usiweke mbele masilahi yako ww peke yako weka masilahi ya watu walioyo wengi tumekujuwa kuwa ww sio mwana KINDAKI NDAKI ILA NA WW kesho tutakujumuisha dua ili kumuomba ALLAH kwa kukuba muongozo.

 12. Kauli ya Serikali kuhusu mihadhara na makongamano inatia wasi wasi. Inasikitisha akina CUF ambao juzi tuu walidai kuheshimiwa kwa utofauti wa mawazo leo wanaunga mkono wanaopinga uhuru huu. Naamini kuwa vita vyao vilikuwa zaidi vya kupapata maslahi binafsi. Nawajutia sana jamaa zangu wa Micheweni Pemba, Shumba ya Mjini Pemba, Msuka kichaka pumu Pemba kwa kufa kwa ajili ya matumbo ya watu. Ni nani leo awatazamae wafiwa wa jamaa hawa? Ni nani leo azungumziae kupata elimu kwa mayatima wa wafiwa hawa ni nani leo angalau awapitiae kuwaliza hali tuu. Mambo yote wameachiwa wenyewe kama vile waliyataka yafike. Mimi naaminikuwa Kizazi cha Watu wa Kweli Zanzibar bado kupatikana !

 13. Wewe mtoto wa Machomane, ingekuwa muungano unafaida kule kwenu Machomane kungekuwa vile ? WALLAH thumma WALLAH humumtishi mtu hapa na hii ndio mwisho wa madhila ya nchi kuongozwa na kikundi cha wachache.
  Maana hata Mapinduzi yenyewe hadi Muungano Nyerere hakukaa tu halafu ndio akayapata hivi hivi tu lakini aliweka mipango madhubuti chini ya harakati kubwa yenye siri nzito na kubwa, tangu Kibaha, Mashamba ya Mkonge ya Sakura (TANGA) Tanganyika kupitia bandari ya Kipumbwi halafu tena Bweleo na maeneo mengine ya Unguja yakatumika kuingizia wapiganaji wa kundua, akiwatumia Mzee Vitor Mkelo, Oscar Kambona na wengine na kwa Zanzibar mtu wa kwanza kuitwa na kuelezwa mpango huu wa KANISA KATOLIKI (UKRISTO) bila ya yeye kuujua malengo ya halisi na kidodeshwa madaraka na kuonyeshwa kuwa lengo pekee la mapinduzi haya nikuifanya Zanzibar iwe chini ya watu weusi ni KASSIM HANGA, wakafundishwa watu hapo Tanga kwa gharama kubwa na siri kubwa na Nyerere akawatayari kuuwa ili ku-achieve lengo lake na kweli la mapinduzi na yakafanikiwa halafu sifa zote wakamwagiwa na kubebeshwa makomredi 14 chini ya Baraza la Mapinduzi, kisha sasa ndio akam-pressurize Mzee Karume waunganishe nchi kwani aliamini hii ndio njia pekee ya kuudhibiti Uislamu, Uchumi na Siasa za Zanzibar. Sasa brother Moh’d Aboud {MADUDU} sisi kama Wazanzibar kutoka mifupa na damu ya KIISLAMU tunamaswali ya kumjibu Allah {s.w} kwa makosa haya ya kihistoria ambayo wazee wetu baadhi kwa kujua na wengine bila ya kujua waliyafanya, na tunaamini njia muwafaka ya kuleta TOBA ni kuitoa nchi yetu kule walikoining’iniza na kuigandisha {MUUNGANO}. Na hili tutalifikia kwa kuwa na ujasiri mkubwa juu ya vimbi vya maadui wote watakaojitokeza kutuathiri kwa namna yoyote ile iwayo. Najua sana kama unajaribu na unalinda sembe lako lakini tuko mbali sana kimtazamo na kimaamuzi na sisi kufa ni bora kuliko kuliachia tatizo hili liendelee, na mambo yakiharibika tutakufuni muwajibike kama HUSNI MUBAARAK Misri. Kumbuka sisi historia hii chafu yenye madhara ndio inayotuuma.
  “MUUNGANO NI KAMA KOTI LIKIKUBANA UNALIVUA”
  Jee! Moh’d Aboud {MADUDU} na wanasiasa wenzio wa Zanzibar hamjioni kama ni waasi wa kisiasa kwa Mzee Karume na kama angaliuwa hai msinge sema au angekufukuze kwenye serikali kwa hali ya Muungano ilipotufikisha ?
  Basi wajukuu wa Karume tupo mtatuona na mtatukoma.

  ZANZIBAR KWANZA
  ZANZIBAR HURU
  Vitisho baadae.
  {إن الله ‏‎ ‎مع الصابين}

 14. aboud hayo maneno ni yako ww na seif ali iddi mukiungwa mkono na familia zenu kumamazenu nyie hiyo kauli sio ya serekali na tunakuambia pamoja na kukuapia iwapo wazanzibar watakufa kw kutetea haki yao basi na ww hutakaa utaungana na watakaotangulia na kilio kikubwa kitakuwa kwako mana ukitupigia watu wetu basi na familia yako hatuiyachi tutakwenda nao akhera pamoja
  Hlafu mm nina jambo moja ambalo nataka kuwaambia uamsho kw nini hawachukui fomu ya kusajili chama 2015 serekali wakapata waislamu mana ss hivi CUF n CCM lO moja mbwa hawa
  na maalim seif tuamwambia kua ni mnafiki mkubwa na yeye pamoja na viongoozi wake ila mara hii hatuko tena pamoja na ww mnafiki ww
  Uamsho ndo viongozi tunaotaka kuiyongoza zanzibar

 15. Sisi wazanzibar tunaemuamini ni Mwenyeenzi Mungu tu na sio tume ilioekwa kulinda maslahi ya muungano. Si hatuutaki muungana kwa nini munatulazimisha?

 16. Wazanzibari tunatakiwa kesho Ijumaa inshaallah tuhudhurie kwa wingi mhadhara utakaofanyika Maisara asubuhi na mapema ili kuonyesha msisitizo kwa vibaraka wa Tanganyika.

  Tujiandae kwa Dua, Swala ya Ijumaa, na mengineo inshaallah hapo Maisara kama kawaida.

 17. ULE MUDA WA KUUVUNJA MUUNGANO WA TZ UMEFIKA. WAZANZIBAR HATUOGOPI RISASI, KUFUNGWA JELA WALA MAJARAHA TUNACHOKITAKA NI KUVUNJWA MUUNGANO TU BASI. Tumechoka na dhuluma za watanganyika.

 18. {لا يحب الله الجهر بالسوء إلا من ظلم….}

  (Allah hapendi {mtu} kudhihirisha maneno machafu {matusi} isipokuwa mtu aliyedhulumiwa {anaruhusiwa kumtukana dhaalim})

  Katika watu ambao wanaumia na mtihani huu wa Muungano (Mdundano) basi na ndugu yangu maliki yumo,maana hali mnaiona humu ukumbini ilivyo anashindwa kujizuiya mimi nampongeza kwa kuwa na awareness na maumivu na jamii yake wakati huu muhimu na ninakaribia kusema kuwa ukosahihi kwa mujibu wa aya hii, lakini naomba msaada kwa wanaukumbi huu, wakiwemo wazee wetu Makame Silima na Makame Ame kama watatembelea ukumbi na kulio ombi langu hili, ila pia naomba majibu yawe mafupi ili tusiiache makala yetu na kujadili vitu vidogo japo ni muhimu lakini makala ni muhimu zaidi.

 19. Asalamu Alaykum. Nina heshima kubwa kukaribisha maoni ya kila mchangiaji na naahidi kuheshimu mawazo hayo. Hata hivyo, kwa ajili ya kulinda mila na desturi adhimu za Kizanzibari, sitachapisha maandishi yoyote yanayokwenda kinyume na utamaduni wetu, matusi au dharau ya mchangiaji mmoja dhidi ya mwengine kwa hivyo nawashauri tunapochangia tuwe tunatumia lugha za kistaarabu. Ahsanteni. Salma Said

 20. ABOUD unategemea vyombo vya dola ili kulinda tumbo lako , sisi tunamtegemea Allah ili kujikomboa na dhulma za m
  adhalim kama wewe, tumechagua kufa kukiko kuishi ndani ya mikono ya mabwana zako watanganyika. ndugu zangu wazanzibari tuungane mimi naandika haya huku machozi yanantoka shahidi wangu ALLAH. kila nkiangalia tunavofelishwa kma hatuna kwetu.vijana wa zanzibar tuende wp?

  ZANZIBAR HURU KWANZA.

 21. Hahahahahahhahahahaaaaaaa…..! machiziiiiiiiiii ayoooooo…… Abudi na Sefu Iddi leo yameadhirika hadharani mchana kweupeee mbona leo humkuleta hao wanamgambo kuja kutuondoa machiziiii nyie hapo maisara, wanafiq wakubwa nyiiiiii.
  Mihadhara itaendelea kama kawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa inshaaaallah.

 22. Kweli kwani hata huyo m.aboudu yeye ni mkimbizi ktk kisiwa cha zanzibar naairudie katiba inavosema nasio a2mie elimu ya form 1, huyu mjinga huyo raisi hana mamlaka y kuzuia uamsho usifanyike ijekua yeye mla rushwa

 23. Kama wameamua kwa kujamini basi wameshindwa mana tumemuondosha mkolo kwa hivyo hivyo basi sasa hatutaki kutawaliwa kwanza watawale wake zao muamsho noma

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s