Kongamano la Muungano Lumumba

Wazanzibari waliofurika katika viwanja vya Lumumba katika kongamano lililozungumzia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo watu kadhaa walitoa uzoefu wao wa maisha ndani ya Muungano

Advertisements

5 responses to “Kongamano la Muungano Lumumba

 1. Bwana wee Muungano basi basiii!. Wana-SUZA,MUM,CHUKWANI, na TUNGUU UNIVERSITY toeni elimu mitaani jamani man to man mpaka tuwe huru.
  ZANZIBAR KWANZA.KEEP IT UP.

 2. Jamani hapa mpaka kieleweke tushachoka kudhulumiwa, kukandamizwa, kuuliwa, kufilisiwa, kufukarishwa, kuporwa mamlaka, kudanganywa, kuharibiwa maadili, kuchekwa, kukejeliwa, kubughudhiwa, kudharauliwa, kucheleweshwa kimaendeleo, kudumazwa kielimu, kunyang’anywa rasilimali zetu na kung’ang’aniwa kimuungano hewa.
  NYOKOA KATA MUUNGANO
  VURUGA VURUGA MUUNGANO (MNYONGANO)
  JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.
  Keep it up.

 3. Kaka punguza jazba, toa hoja zenye mantiki wewe ni muislam matusi ni haram kwako na kwetu, unatuaibisha kaka.

 4. wazanzibari eleweni kuwa huku bara sehemu kubwa mmewekeza kila aina ya rasilimali na pia wapo wazanzibari ambao wamjijenga bara kwa sehemu kubwa sana,sasa mkisema mnataka kujitenga huwa mnajaribu kuwafikiria haw ndugu zenu?hebu jaribuni kuwa na busara kidogo halafu punguzeni jazba na kuukataa udini.Mataifa yote makubwa Duniani unayoyaona leo hii yameendelea kwa kitu kinachoitwa UNIFICATION yaani mataifa mbalimbali yalio karibu kuunngana kwa pamoja kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ya pamoja,ulinzi na usalama,nyie mnarubuniwa na watu waso watakia mema WANZANZIBARI.na nawahakikishia mara tu mtakapofanikiwa kujiondoa kutoka kwenye Muungano kitakachofuata ni kutengana kati ya Pemba na Unguja na ndio mtakuwa mmekwisha habari yenu.from Msizio,Eckernforde Tanga University,Tanga.Tanzania Bara nchi yenye upendo.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s