Wazanzibari wakesha kuiombea dua Zanzibar

Masheikh wakiomba dua ya pamoja kumuomba Mungu ili kujenga nia moja katika mambo yote, baada ya kumalizika kikao hicho leo jioni kwenye ukumbi wa baraza la wawakilishi kati ya viongozi wa dini, jeshi la polisi, wanasiasa na serikali ambapo Waziri wa Katiba na Sheria Abubakari Khamis alizungumza na pande zote hizo kuelezea mchakato wa Katiba mpya na mihadhara inayofanywa sehemu mbali mbali za Zanzibar huku akisistiza uhuru wa kutoa maoni usivuke mipaka na kusababisha machafuko. lakini alisema maoni yalenge kuimarisha mfumo tuutakao na sio kuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Wazanzibari nyote ulimwenguni wa kike na kiume, wakubwa na wadogo mnatakiwa kukaa na kusoma kisomo hichi maalumu cha leo ambacho huku Zanzibar kinakaliwa katika Masjid Afraa wa Kidongo Chekundu kwa wanaume na Masjid Jibril kwa wanawake lengo ni kumkabidhi Mwenyeenzi Mungu (s.w) shida zetu pia kumuomba na kumuelekea kwake Mwenyeenzi Mungu katika mambo yote. Rehma na Amani zinatokana na yeye hivyo hatuna budi kumtegemea na kumuomba sana katika kikao hichi cha leo. Kwani kama alivyoahidi mwenyewe Subhannah aliposema Niombeni nitakupeni basi nasi tunainua mikono yetu kwako ya Yarabbi na hatuna mwengine wa kumuomba zaidi yako tutakabalie dua yetu hizi na utufungulie mambo yetu na utunyooshee kwa baraka na utukufu na usiku huu hakika ulitakalo wewe huwa. Baada ya hapo tia nia yako na usome kama utaratibu wa dua hii unavyoelekeza:

 

Dua ya kuiombea nchi yetu salama na amani na kuiepusha na shari na hasad

Nia yake ni kumuomba Mwenyeenzi Mungu aungo’e mfumo huu wa dhulma unaoitwa Muungano na kila anayeikusudia Zanzibar na wazanzibari na waislamu wote duniani uhasidi na ufisadi tunamkabidhi Mwenyeenzi Mungu (s.w) awarudi.

Visomo hivi vitafanywa kwa mujibu wa watu na hali zao. Na katika nyakati tofauti na mwahala tofauti. Waislamu hii ndio nguvu yetu, silaha yetu, mabomu yetu tusifanyie mzaha.

Mtume (s.a.w) amesema dua ndio ubongo wa ibada. Mambo yetu ili yafanikiwe lazima tuyafunganishe na dua, na sadaka, maombi yetu tumkabidhi Mfalme wa watu mwisho wa Majabari, Asiyeshindwa na kitu na anapoamua lake husema Kun Fayakun, baina ya Kaf wa Nun. Kuwa limekuwa hakuna wa kulizuwia.

Vinapofanywa visomo hivi mtu ahusishe nia iliyopo hapo juu, pamoja na matatizo yake binafsi inshallah faraja kubwa itapatikana.

Visomo hivi vinahitajika kufanywa vyuoni, misikitini, majumbani na kwenye hadhara mbali mbali za kheri, mtu peke yake au kikundi na watafanya kwa idadi ndogo ndogo au idadi kubwa pia inakubalika.

Idadi kubwa kuanzia 313-1,000, 3,000, mpaka 50,000 idadi hii ni idadi ya malaika aliowateremsha Allah katika vita tofauti kuwanusuru waislamu kwa mujibu wa nususi ya Qur-an Kareem.

Idadi ndogo ni kuanzia 70, 40, 21, 11, 5, 3, 1 na katika hali nyengine ya witri muhimu mtu achunge nidhamu ya usomaji na idadi yake tunapendekeza kwa kila chuo kiwe na utaratibu huu wakifika asubuhi na ikiwezekana miskitini kila baada ya sala kwa wakati huu tulokuwa nao wakasoma japo mara moja moja mpaka Mwenyeenzi Mungu atakapotupa lile tulokusudia.

Visomo hivi viendelezwe ndani ya nchi na nje ya nchi mpaka waislamu wapate ushindi na visomo vimaliziwe kwa dua ya Qunut.

Utaratibu wa kusoma kama ifuatavyo:

Istaghfar  100 kumuomba Mwenyeenzi Mungu msamaha kwa makosa yetu

Sala za Mtume 100 kupata rehemu kutoka kwa Mwenyeenzi Mungu. Mpaka 1,000

Surat Raad aya ya 13 mara 70

Tafsiri ya aya ni hii hapa: “Na Radi inamsabihi Allah kwa kumshukuru na (pia) Malaika (husabihi) kwa kumuogopa, na (Allah) hupeleka mapigo ya radi na kumpiga nayo amtakaye. Na hao (Makafiri) wanabishana juu ya Allah (kuwa yuko kweli au hayuko) na hali (ya kuwa yuko na) yeye ni mkali wa kuadhibu”. Mwisho wa Aya hiyo.

Sura nyengine zitakazosomwa kama ufuatavyo:

Alamtara mara 70 kwa ajili ya kupiga ubaya na kudhalilisha vitimbi vya makafiri

Idhaa Dhuldhilat mara 70 kwa ajili ya kung’oa na kutawanya

Tabatyadaa mara 70 kwa ajili ya kuangamiza na kila kitu chake

Kulhuwallahu na kul-adhu birabbi Naas mara 70 kwa ajili ya kumtakasa Mwenyeenzi Mungu (s.w)

Falaq mara 70 kwa ajili ya kutakasa ulinzi na kujilinda na hasadi na shari za watu.

Lahaula wala quwwaata illa Billahi Aliu—Ladhiym Ni kumpa Mwenyeenzi Mungu mamlaka yake hakuna hila wala nguvu isipokuwa kwake.

Almnashrah mara 70 ni kwa ajili ya kuwepesisha na kufungua yale mazito tunayoyataka kama Mwenyeenzi Mungu alivyomfungulia Mtume wetu Muhammad (s.a.w).

Alhamdu mara 70 Ni kumtegemea Allah (s.w) na kufungua na kumuomba atuelekeze katika njia iliyonyooka kufika katika lengo letu.

Advertisements

13 responses to “Wazanzibari wakesha kuiombea dua Zanzibar

 1. Pingback: Wazanzibari wakesha kuiombea dua Zanzibar·

 2. Isha-allah waislam wazanzibar na nje ya zanzibar Mungu ndio tegemeo letu tudumishe dua hii ili kufikia lengo tulilolikusudia na Insha-allah tutafanikiwa.

 3. WAZANZIBAR HATUUTAKI MUUNGANO NA VYURA WEUSI WA TANGANYIKA. Waznz tuombe dua za kuuvunja muungano wa TZ. Dua tu bila ya vitendo hatutapata uhuru milele lakufanya ni kwaua WATANGANYIKA WOTE WALIOPO ZNZ.

  • sheikh, haifai tusiwaite binaadam wenzetu “vyura weusi” hata Allah hatosikiliza izo dua zetu wala kuwauwa sivyo uislam unavyo tufundisha kwani Mtume (saw) aliwaachia mayahudi kukaa huru katika nchi ya Makkah na Madinna hivyo naomba ustaghfiru ndugu yangu kwa hilo

 4. Serikali isitucheleweshe bwana, walikuwa wanajifanya hawatusikiii!. Sasa washauna moto Umewashwa na Wananchi wenyewe kwa kushirikiana na Masheikh vipenzi wa Nchi ndio wao eti wanakurupuka kujifanya kuzungumza suala la Muungano. Hatutaki,hatutaki kuvungwa kama mnania njema ingieni uwanjani tuuvunje basi. Mambo ya katiba tusitajiane kabisa. Mheshimiwa Aboubakar Khamis unasikia hapoo!, kwa sababu na wewe siku hizi na wewe ndie kwenye kutuzamisha.

 5. TUMSIFU YESU KRISTO. MUUNGANO HAUTAVUNJIKA MILELE HATA MUFANYE NINI. Zanzibar si nchi. WAZENJ ACHENI UFALA WATANGANYIKA TUNASEMA KUWA HATUWAPI UHURU NG’O MPAKA MUMTAMBUE YESU KRISTO KUWA MUOKOZI WENU. Hivyo, vishehe njaa tutavieka jela vyote tuvifire. Hichi kishehe kibovu kinasoma halibadil hapa tumesha kifira jela hichi. Munasema munaka kutuua WABARA WANAISHI ZENJ HAMUWEZI WANYWA UROJO NA KUFIRANA WAZENJ WOTE WANAFIRWA HAMUTUWEZI WABONGO WALA UGARI NA NYAMA. Ati munapigania uhuru muna JESHI MAFALA NYINYI. JWTZ NA PT wanalinda taifa la TZ. Kwa kuhakisha kua MAGAIDI kama hivi vishehe vishoga kama vilivyopo hapo juu wanazibitiwa kikamilifu. ANDAMANA UFE KWA RISASI MKUNDU MWEUSI WEWE.

  • kulikuwa na watu wenye nguvu kushinda wewe,wapo waliokuwa na jeuri zaidi yako,wengine walikuwa na kiburi mfanowe hakuna,na wengine walikuwa na vitimbi kupita zaidi yako,walikuwa na ndimi za kijeuri kupita kiasi.Lakini Mwenyezi mungu{s,w} hakuwa na haraka nao,aliwasubiria na kuwavumilia hadi muda wao ulipofika wa kuondoka duniani,je unajua walipo? na wameondoka katika hali gani?.Sasa watu kama nyinyi mola wetu hana haraka nanyinyi,wapi mtakapokimbilia kama si kwake?,sasa hapo mtakapoondoka duniani ndio mtayajua zaidi yaliyoko kwake,nguvu zake na ghadhabu zake.Au dini yako ndivyo ilivyokutuma? huyo yesu uliyetaka tumtambue sisi ndivyo alivyokufundisha? au umeandika maelezo haya wakati ukiwa tayari umeshakunywa maji makali?.Sasa sikiliza ndugu yangu,KWANZA huyo uliyesema tumtambue,sisi ndio tunamtambua zaidi kushinda nyinyi mnavyomtambua,je wataka kujua?
   PILI,tumeletwa duniani kwa ajili ya kuitafuta akhera,basi tenda matendo mema kwa ajili ya hiyo akhera na si kuwakashifu na kuwatukana watu .TATU,ikiwa nguvu zako zitaweza kuhimili vishindo na ghadhabu za Mwenyezi mungu,basi fanya yoyote kwa jinsi uwezavyo.badilika dunia sio yako.hebu fikiri maandalizi unayoyaandaa kwa ajili ya maisha baada ya kufa.Omba msamaha kwa uliowakosea pamoja na mungu wako,la sivyo subiri utayaona!!!!!!

 6. Wewe kijana usiofunzwa ukafunzika..ukadiriki kupanua kinywa chako kichafu kutukana viongozi wetu.sie hatubishani na vichaa ila tunasema tunalotaka kufanya.kama tulivyosema tunafanya inshaalah..sie hatuna haja n jwtz hao watakulinda ww..maana sie kwetu wote wanajeshi..ni bora kwetu kufa klko kuishi hali ya kuwa wajinga kama nyie mupo na hamujaelewa…

 7. sisi hatukutaukani lakini kaa ukijijua huyo Yesu unaemsema wewe ni Mungu sisi tunasema ni Mtume wa M/mungu kwa Wana wana wa Israel sio wanyamwezi, wamakonde na wengine mnajijua wenyewe Yesu (Nabii Issa) ataenda kuwakana siku ya kiama mtatafuta pa kukimbilia hamna isipokua Motoni hivyo jitambue kabla hujafa. khabithi mmoja. maluuni.

 8. TATIZO LA RAIA WA TANGANYIKA HAWAJITAMBUI WAO WANAHISI WANANUFAIKA SANA NA HUU MUUNGANO NGOJA LEO NIKUSOMESHE 1 RAIA WA KAWAIDA WA TANGANYIKA HAWANA AKILI WAMEAMBIWA MWISHO DARASA LA SABA 2 MTANGANYIKA HANA HAKI YA KUMILIKI ARDHI ZANZIBAR KWA MUJIBU WA SHERIA
  3 HANA HAKI YA KUGOMBEA NAFASI YYTE NDANI YA ZANZIBAR
  4 ATA JINA TANZANIA HAMUSTAHIKI KUITWA MANA HAMNA HAKI YEYOTE NDANI YA ZNZ NI UJINGA TU NDO UNAWATAWALA LAKINI KWA UPAND WETU YOTE HAYO TUNAPATA KWENU NA BADO HATUTAKI TUNATAKA HAKI ZAIDI UJUE SISI TUNA AKILI ZAIDI YENU YENU TUKO TEARI KUKOSA YOTE KWA AJILI YA NCHI YETU.

  • ZANZIBAR SI NCHI NI KOLONI LA TANGANYIKA. Hivi vishee vinavyofilwa vinahamasisha wazanzibar wavunje muungano, WATANGANYIKA TUNASEMA KUWA MUUNGANO HAUNJIKI MILELE NA WALA HAUTAJADILIWA KATIKA KATIBA MAFALA NYINYI. Wacheni mambo ya kisenge kama mumechoka kufilana basi nendeni mukale ULOJO MALINDI. Sio munazungumza pumba WATU WENYEWE HAMUJA SOMA NANI ATAKAE WAPA NCHI WAJINGA NYINYI. Haya sawa zanzibar ni koloni la TANGANYIKA sasa mutafanya nini?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s