Hatutawavulia wanaopinga Muungano

Kundi la watu wanaotaka kuitishwa kura ya maoni kuamuliwa juu ya Muungano uwepo au usiwepo wakiwa katika viwanja vya baraza la wawakilishi

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema haitawavumilia wanaharakati au kikundi chochote kinatakachohatarisha amani kwa kisingizio cha kupinga Muungano wa Zanzibar na Tanganyika kwa kutumia mihadhara na makongamano. Hayo yameelezwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi wakati akifunga kikao cha Baraza la Wawakilishi kilichomalizika juzi huko Chukwani Mjini hapa.

Balozi Seif alisema Serikali  ya Mapinduzi Zanzibar haitaki kupoteza amani na utulivu na kurejea katika vurugu na uhasama uliojengeka katika jamii kwa maika kadhaa. Napenda niweke wazi msimamo wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar haitakivumilia kikundi chochote kitakachoonekana kuhatarisha amani, utulivu na umoja wa wananchi wetu” alisema Balozi Seif.

Alisema serikali haiku tayari kurudishwa nyuma ambako wananchi waliishi kwa khofu kubwa huku chuki na uhasama zikiwa zimetanda miongoni mwao.

“Hatutasita kuvizuwia vikundi vyovyote vinavyoendesha mihadhara au makongamano tutakayobaini yanahataridha usalama wan chi yetu. Na hili hatutakuwa na muhali na mtu yeyote Yule” alisema Balozi Seif wakati wa kufunga baraza.

Alisema kuna kikundi cha watu wachache wanaoendesha makongamano kwa lengo la kuwakashfu na kuwatukana viongozi, badala ya kutumia jukwaa hilo kwa shughuli za uelimishaji.

Alisema lengo la serikali zote mbili ni kuona watu wanajitokeza katika tume iliyoundwa na Rais Kikwete kwenda kutoa maoni juu ya katiba na sio kutumia majukwaa kwa kuwapotosha watu na kupinga Muungano.
Alisema masuala ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yana nafasi yake ya kujadiliwa na kwamba wanaotaka kufanya hivyo fursa hiyo wataipata kupitia mchakato ujao wa kukusanya maoni kuhusu mabadiliko ya katiba.

Alisema awali waliamini kwamba wanaoendesha makongamano hayo wana nia njema ya kutoa elimu kwa umma lakini badala yake wamekwua wakitumia makongamano na mihadhara hiyo kwa kuwakashifu viongozi, kejeli na matusi kwa viongozi na watu wenye kuunga mkono Muungano.

Kauli ya Makamu wa Pili wa Rais, imekuja wakati tayari wanaharakati wanaopinga Muungano na wanaotaka kuitishe kura ya maoni ya kuwauliza wazanzibari iwapo wanataka kuendelea na Muungano uliopo au hawautaki wamo katika mikono ya jeshi la polisi baada ya kushikiliwa hapo juzi katika viwanja vya baraza la wawakilishi.

Wanaharakati hao 12 juzi walikamatwa na jeshi la polisi baada ya kudaiwa kukataa kutii amri halali ya jeshi hilo mbele ya viwanja vya baraza hilo kabla ya kuonana na Spika wa baraza hilo, Pandu Ameir Kificho ambaye walitaka kumuelezea lengo lao la kufika hapo.

Kwa mujibu wa barua yao waliomuandikia Spika Kificho, na kutiwa saini na kiongozi wa kundi hilo, Rashid Salum Adiy ilisema wazanzibari wana haki ya kikatiba kudai uhuru wa Zanzibar na hivyo wanachotaka ni kuitetea nchi yao kwa mujibu wa sheria zilizopo ambapo.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa alikiri kwamba wanaharakati hao walipanga kumwona Spika kwa lengo la kushinikiza baraza lipitishe uzimio kuruhusu wazanzibari kupiga kura ya maoni ya kuukataa au kuukubali Muungano.

Kamishna Mussa alisema sio tatizo wananchi kudai haki hiyo ya kura ya maoni lakini kinachotakiwa ni kufuata taratibu na sheria za kuweza kufika katika viwanja hivyo vya baraza la wawakilishi na sio kwenda bila ya taratibu.

“Sio shida wananchi kwenda pale lakini napenda watambue kwamba Baraza la Wawakilishi sio viwanja vya sikukuu, kama kila mtu anaweza kwenda tu na kusherehekea” alisema Kamishna huyo.

Alisema watub wanaweza kudai haki zao bila ya kuvunja sheria na jeshi la polisi limejipanga kukabiliana na vitendo vyote viovu na vyenye kuhatarisha amani ya nchi.

Aidha alisema wananchi wanaodai kuukataa Muungano wanaweza kufanya hivyo kwa kufuata taratibu na wale wenye kuunga mkono Muungano pia wanaweza kufanya hivyo lakini kwa kufuata misingi ya sheria zilizopo na jeshi lake halitamvumilia mtu ambaye anakiuka sheria kwa kisingizio kama hicho.

“Wanaopinga Muungano wanaweza kupinga lakini kwa kufuata taratibu maalumu na sheria na wale wenye kutaka Muungano pia wanaweza kuunga mkono lakini kama hatuwezi kuwaachia wneye kupinga kwa kusababisha fujo na hivyo hivyo hatuwezi kuwaruhusu wenye kuunga mkono kwa furaha zao wakenda uchi eti kwa sababu wanaunga mkono…lazima sheria na shuruti zitimizwe na sisi tupo hapa kwa ajili ya kuwashurutisha wale wasiotaka kufuata shuruti” alisema Kamishna Mussa.

Uchunguzi wa Gazeti hili umegundua kwamba tayari wanaharakati hao wameshahojiwa na jeshi la polisi ambapo baadhi yao walikataa kutoa maelezo akiwemo kiongozi wa kundi hilo hadi hapo wakili wao atakapofika kituoni.

25 responses to “Hatutawavulia wanaopinga Muungano

  1. Kwa Heshima zote, Makamu wa kawanza wa rais, Mh. Sefu Iddi; Tisho lako kwa wazalendo wa kizanzibari halikubaliki. Sisi wananchi tuna haki ya kuitetea nchi yetu wala hakuna anaeleata uchafuzi wa aina yoyote ile. Kwa kuwa Mh. Sefu ni mwana CCM, tunakwambia kuwa wengi katika chama chako hawakubaliani nawe. Hili tishio halina meno. Kama na wewe unataka kuimwaga damu tukufu ya wazanzibari basi endelea na msimamo huo na sisi ni mashahidi maana akhera kwenda hisabu. Fikiria na uzingatie usisukumwe kwa jazba. Wewe ni kiongozi wa taifa.

  2. KAMISHNA MUSA HAPA NAONA UNACHEMSHA. HIVI BARAZA LA WAWAKILISHI LIPO KWA AJILI YA NANI? UNATAKA KUTUAMBIA KUA MTU AMBAE ANA SHIDA NA MUWAKILISHI WAKE HAWEZI TU KWENDA BARAZANI AU BUNGENI KUMUONA NA KUMUELEZA SHIDA YAKE KAMA WALIVYOFANYA HAWA JAMAA? SHERIA NI MSUMENO SHKH MUSA KESHO TUTAKUJA KUSIKIA WAKEREKETWA NA WANA UVCCM WANAFANYA MAANDAMANO KUUNGA MKONO MUUNGANO NA HILO JESHI LAKO NDILO AMBALO LITATOA KIBALI NA ULINZI. ISIWE MAMBO HAYA NI KWA WANAOPINGA MUUNGANO TU. HATA HIVYO NAWAPA PONGEZI NYINGI SANA KWA KUWA MASHUJAA NA KUWEZA KUUFIKISHA UJUMBE KWA WAHUSIKA WOTE SERIKALI, CHAMA TAWALA, BARAZA LA WAWAKILISHI NA WAZANZIBARI NA WATANZANIA WOTE. SASA TUNAELEWA FIKA KUA MUUNGANO ZANZIBAR HAUTAKIWI ILA UNALAZIMISHWA TU. BOB MARLEY ALIWAHI KUSEMA HIVI KATIKA ULE WIMBO WAKE MAARUFU WA KUDAI HAKI “GET UP STAND UP” UNAWEZA KUWADANGANYA BADHI YA WATU BAADHI YA WAKATI LAKINI HUWEZI KUWADANGANYA WATU WOTE WAKATI WOTE. CCM NA SERIKALI ZOTE MBILI MMETUDANGANYA SANA HUKO NYUMA MPAKA TUKAAMINI HAKUNA ISIPOKUA CCM NA MUUNGANO. SASA TUMESHAAMKA NA TUMEFAHAMU KUA MUUNGANO HUU NI AINA MPYA YA UKOLONI TU ALIONDOKA MKOLONI MWEUPE SASA TUNATAWALIWA NA WAKOLONI WEUSI AMBAO NI WABAYA ZAIDI KULIKO WALIOONDOKA. UKOLONI HUU UTAONDOKA TU ILIVYOKUA VIJANA HAWA WAMEWEZA KUUFIKISHA UJUMBE KAMA UNAVYOTAKIWA SASA KAZI NI MJOA TU ILIYOBAKIA KUWATAKA WAWAKILISHI WETU KILA JIMBO KUUFIKISHA UJUMBE WETU SERIKALINI KUA SISI WAZANZIBARI SOTE ISIPOKUA BALOZI SEFU IDI, MOHD ABOUD NA SAMIA SULUHU HATUTAKI MUUNGANO.

  3. Kwann Serikali yetu haijali mawazo ya wananchi wake? Jee wanaongoza magogo au wanyama kila kitu kiwe hewallah? Wanaongoza wanaadamu, wenye akili na ufahamu, wanaojua tamu na chungu, ni sisi tulowachagua nyinyi viongozi ambao leo hii munasema hamutamvumilia mtu, jee muungano unawahusu nyinyi viongozi au nchi nzima? Jee Zanzibari ni Serikali au wananchi? Kama ni wananchi, kwann hatusikilizwi mawazo yetu!!
    HAKIKA UTAPODHIHIRIKA UKWELI, UBAYA HUJITENGA.
    Sitakua mbaya kwa kunena yaliyo moyoni mwangu.

  4. Lo jamaaa naona mkali kama moto anautetea muungano batili. Na dini ya mwenyezi Mungu ungekua unaitetea kama hivi ungekua mtu wa maana sana lakini unatetea siasa ambayo ni jambo la kupita tu. Anyway sikulaumu sana ngoma tatu ulizonazo lazima utetee ugali wako hata kwa kutoa roho wenzako kwani muungano ukivunjika zinaweza kukosa mambo fulani na hatimae kukukimbia na ule uraisi ulioahidiwa 2015 utaukosa. Hoja zako mbona balozi zinapingana na bosi wako Kikwete? Wewe unasema muungano tutaujadili ikipita tume na bosi wako anasema usijadiliwe sasa hebu balozi tuambie tushike lako au la Kikwete?

  5. huuu nd unafiki walokuwa nao viongoz i wa zanzbar wao wanafaidika n muungano nd mana hawasikiliz watu?
    manake ata haya hawana kazi kula pesa tu wanajitajirishqa wao n watu wanakuwa masikin kila siku juu ya unyonyaji wa bara lakin kwao poa coz hawajauii uchungu wao suala hil halina mpemba wala muunguja sote tuko sawa na tunataka referendum first sio vitishoo tu

  6. Jee tutaendelea kutishwa hadi lini?
    Jee sisi Wazanzibari hatuna haki ya kukikataa kile kinachotuhusu?
    Jee anaeogopewa ninani hadi tuwe tunarudishwa nyuma?
    Jee ni faida gani tuzipatazo katika Muungano?
    Jee kuna hasara gani tutakazozipata tusipokua kwenye muungano?
    Hayo na mengine mfano wa hayo Mh Balozi alitakiwa ajisaili kwanza kabla ya kutoa tamko lake (Serikali). Kwanzi Balozi Seif unamuwakilisha nani? Kama unatuwakilisha sisi Wazanzibari ulipaswa uzijali na kuziheshimu hisia zetu, ulipaswa ukae na sisi ujue jinsi ya kulitatua tatizo hili, kwa haya uliyoyasema unamaanisha kua ni ww ulietoa amri ile na FFU kwakua amri inatoka kwako hawakutafakari hili wakalifanyia maamuzi walioyafanya. Nadhani hakuna kurudi nyuma tena sasa!

  7. Kama Blozi na watu wa jimbo lako mnautaka muungano sisi wa majimbo mengine tumeuchoka na hatuutaki na ndio maana kwa njia za kistaarabu na kidemokrasia tunaelezea hisia zetu. Kama watu wa KITOPE wamekutuma uwasemee kua wanataka MUUNGANO sisi tutwambia wawakilishi wetu walieleze hilo Baraza la Wawakilishi kua hatuutaki muungano. Balozi elewa kua njia tuliyoitumia ni ya kidemokrasia lakini unatusukuma kutumia njia nyengine. Kwa hili huna la kutueleza msimamo wetu HATUTAKI MUUNGANO. Kama wewe na watu wa Kitope mnautaka ije kura ya maoni na ataeshinda hakuna mjadala ndio demokrasia na sio kuonyeshana ubabe. Unaogopa nini kura ya maoni Balozi?

  8. wewe sefle idd sikiliza wewe sasa wazanzibar hawataki kusemewa tena nyie waongo na wanafiki wakubwa,nyie mkifika tu kwa mabwana zenu tanganyika mnapiga magoti ,sasa atakae chafua hali ya amaan ni wananchi wanao dai haki yao ya kikatiba au nyie watawala,ambao hamuna imani na munao waongoza ,kazi yetu ni wizi na fitina tu kuwatia wazanzibar,na nafikir bado hamja tambua kabisa suala linalo daiwa na wazanzibar ni suala la mustakbali wa nchi yetu ya zanzibar,wanzanzibar washaona hamna faida yoyote ya kuwemo ndani ya muungano huu,sasa nyie viongozi pia hamna njia na imani ya kuwatoa wazanzibar katika janga hili.lazima sisi tutachukua hatua mbadala ya kujikomboa malengo ya mzee karume ya kufanya mapinduzi ni kuwa wana nchi wa visiwa vya unguja na pemba wapate huduma zote muhimu ,na wawe na maamuzi ya taifa lao .lakini kinyume chake baada ya sultan sasa yupo sultan mweusi tanganyika tena huyo ndo mbaya zaidi,kwa wazanzibar hii nchi si yako sefle iddi si ya baba yako wala ya mama yako ,hii nchi ni wanzanzibar wote na hiyo kasumba yenu ya kutia watu sumu ya itikadi ya vyama vya siasa kumbuka hii nchi haina waraka wa chama chochote cha siasa hii ni dola ya watu wa jamhuri ya watu wa zanzibar .

  9. kwa nini munakuwa wahuni hivi nyinyi sefu mweusi kama kwidaa na abooud kama munahisi muungano unapendwa leteni kura ya maoni mm seif aliy idii aulizwe mama yake hakuwa mwana haramu au muhamed abood KAMA MUNAHISI MUUNGANO UKO NA NGUVU LETENI KURA YA MAONI

  10. Kongozi asiye na busara hafai uongozi wa uma bora awe kama balozi wa nyumba kumi kuliko kukejeli uma Tumechoka watuwachiye tupumuwe NGUZU ZITUMIKE KWA KURA YA MAONI HAKI YA KIKATIBA YA ZANZIBAR KWA NINI HAMTUPI HAKI YETU ?WAKATI KATIBA IKO WAZIIIIIIIIIIIIIIIII
    MTU KUDAII CHAKE IMEKUWA KOSA ?

  11. wazanzibar wanaotetetya muugano ni mafisadi walishiriki mauaji ya karume ,kudhalilishwa kwa mzee wetu abudu jumbe kukashif comando salimini kuuwa wazanzibar wasiyokuwa na hatiya

    • Bwana wa kitope unataka kufirwa. Ninakuahidi nitakufira. WAZANZIBAR HATUUTAKI MUUNGANO NA MBWA WEUSI WENZIO WA TANGANYIKA CHURA JIKE WEWE USHIKE ADABU YAKO.

  12. 2Meshajitolea kufa na kupona wala hatuogopi vitisho vyovyote
    hvyo vitisho vyako kawatishe wake zako watakuogopa lakini umma wa zanzibar hawakuogopi

  13. Pingback: Hatutawavumilia wanaopinga Muungano·

  14. Kiongoz bora ni yule aliyekaa madarakan kw ridhaa ya wa2. Hivy ckushangai seif idd kw sbb hakuna m2 alipiga kura na kuchangia kuwepo nafac hiy icpokuwa umeteuliwa kw maslah ya viôngoz fulan 2. Mbon wale viongoz waliokaa kw ridhaa ya wa2 mbona kimnya au wao hawajui kuongea au husda ww. Ucjione ww na familia yako mnainjow national cake ya umma mkadharau wanyonge. Hv utamjib MUNGU ww kw unayo2fanyia. Be patient 2save our life. Majuto hayata saidia na kwnn 2jute mara 2. Seif id kaa na utafakar ijikuw ww ndio chanz cha kumbaratika visiwa hiv.

  15. atakae ukubali muungano huu seif ali iddi si wazanzibar ni ww na mke wako na hivo vitisho vyako havitushuhulishi sisi tutaendelea kupigania haki yetu kw hali na mali na km ww waringia polisi tunakuambia ww hukai mbinguni na familia yako upo hapa hapa ardhini kw hiyo hakuna utakaemuumizia famili yake kw kutumia jeshi na ww tukakutizama mara hii utakachorusha ndo tutakachokurejeshea

  16. Waheshimiwa hawa wangekuwa wakweli na wapenda amani wangeataja mambo watakayofanya ikiwemo namba moja kumtaka DPP awatayarishie majalada ya kesi za jinai wote waliotajwa kwenye Ripoti ya Omar Ali Shehe. Uhalifu uiofanywa na Watendaji Wa SMZ ni mkubwa zaidi kuliko kudai kura ya maoni. Hawa wadaio kura ya maoni si chochote kuliko walionunua Jenerata, Wakauza Ardhi na kubadilisha mkataba kwa kufoji. Ivo ni kwani viongozi wetu wakubwa mnaaacha mambo ya kushughulikia unajishughulisha na vitu visivyo vya msingi. Muungano kuheshimiwa au kutokuheshimiwa ni juu ya watu wenyewe kuamua. msifanye hivyo jamani mtafanya wote watuone wajinga! Inatushangaza kuwa katika hotuba za viogozi hatusikii wakitaja Umafia mkubwa uliotajwa kwenye ripoti au hii ni basi. Wakati nikiwa Aiport siku ya pili toka kutoka ripoti ninmuona afisa moja wa SMZ mwanamke akikebehi ripoti hii. Ivo huyu alikuwa akimuakilisha wahalifu waliotajwa. Au mnataka tujue kuwa ripoti hii ni ya kisiasa.

  17. Kabla ya kuwavamia WAPINGA MUUNGANO balozi Sefu kwanza tunataka wewe na Mh Mohd Aboud mtupe mahesabu yaliokaguliwa ya fedha yote iliyokusanywa kwa wahanga wa MV Spice Islander. Kiasi gani kilikusanywa na kiasi gani kimetumika na kimetumika vipi isije ikawa mumueshanunulia majumba kwani kwa ripoti ya Mh Omar Ali Shehe inaonekana ndni ya SMZ hakuna msafi mbele ya pesa. Nasema hivi kwa sababu kama unatudhalilisha kwa haki yetu kwa kutumia cheo tulichokupa sisi wananchi basi hii ndio mara yako ya mwisho hatukuchagui tena. Pia tutaomba na wewe uchunguzwe na Tume ya Omar Ali Shehe kwani tuna wasiwasi unapokea mishahra ya ubunge na uwakilishi kitu ambacho hakikubaliki.

  18. huko kwetu Zanzibar kuna wanafki na sijui watamaliza lini????? wakati mchakato wa kuupinga Muungano ulipoanzia kila mtu alifurahia hilo na kuwa tayari kwa lolote lile hata Serikali yenyewe ilihusika..lakini sasa hivi Serikali ndio ya kwanza kuwavunja moyo raia wake ambao walikuwa tayari kupigania haki yao..kisa nguvu ya dola pumbav zao…Mungu ibariki Zanzibar yetu na uiokoe katika mikono ya kitumwa..

  19. NI HAKI YA WAZANZIBAR KUENDA BARAZA LA WAWAKILISHI KWANI KWENYE BARAZA LA WAWAKILISHI, WAWAKILISHI 99% SI CHAGUO LA WANANCHI (WAMECHAKACHUA KURA) KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI WAWAKILISHI HUJADILI JINSI WANAVYOFIRWA TANGANYIKA TU NA SIO MATATIZO YA WAZANZIBAR.

  20. Mimi naona tatizo la TZ siyo Mungano wa Serikali mbili. Tatizo kubwa zaidi hasa ni Muungano wa vyama vya kisiasa – TANU na ASP. Mfumo wa vyama vingi unalazimisha chama kifanye kazi TZ nzima. Demokrasia halisi ya TZ na hasa ZNZ itapatikana ikiwa kila upande utakuwa na vyama vyake vya kisiasa. Ikitokea hivyo, kero zote za Muungano zitatatuliwa haraka sana. Kwani mbona tuna serikali mbili hapa TZ. Muungano wetu umepata dosari kubwa baada ya kuunganishwa vyama 05 Feb 1977. Mfano: CCM haiwezi kutetea maslahi ya ZNZ lakini ASP inaweza. Nashangaa sana waZNZ hatulioni hilo.

  21. HUU SI MDA WA KUTISHANA IDI WAACHIE WAZANZIBAR WADAI HAKI YAO KWANI MUUNGANO UKIVUNJIKA WEWE NDIYE
    WA KWANZA UTAKAYENUFAIKA SISI HATUNA HAJA YA HIYO NAFASI YAKO.HIVI WEWE HUJUI KUWA BARA HUJUILIKANI KAMA
    WEWE NI MAKAMU WA RAIS? HEBU REJEA KATIBA YA TANZANIA IBARA YA 72 INATAJA SABABU ZITAKAZOMFANYA MBUNGE
    APOTEZE KITI CHAKE CHA UBUNGE MOJAWAPO NI KUTEULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS. SASA WEWE KAMA NI MAKAMU WA RAIS MBONA BADO NI MBUNGE BASI UJUWE KUWA WANAUME HAWAKUELEWI SASA SISI TUNAKUTAFUTIA HESHMA WEWE
    AMKA BABA.AA

    • kama nyie wanawake kweli nendeni bara mkapigane nao, na co kutukana wabara badala ya kuitukana serikali ya jamuhuri ya muungano waambieni viongozi wenu wanaangalia maslahi yao. ss basi msijifanye mwajua tukana na kuongea nyie wenyewe wamalaya mkiona mtu kavaa sijui ndio hijabu munamuona mtakatifu hebu jaribu kufuatilia mienendo yao ni mbwa kafiri.HATA SS WABARA MUUNGANO HATUUTAKI KWANI TUNAFAIDI KWALIPI NA TUNAWATEGEMEA KWA LIPI NASHANGAA NAYO SERIKALI IMEBAKI KUUNG’ANGANIA MUUUNGANO UVUNJWE TU MBARA ARUDI KWAO NA MZANZIBAR ARUDI KWAO HATUWATAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII BARA NA NYIE MSITUTAKEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ZENJI EBOOOO

Leave a reply to ASSAA Cancel reply