Ibada ya kuwekwa wakfu wa Dayosisi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipeana mkono na Askofu wa Dayosisi ya
Zanzibar Padre Michael Henry Hafidh,baada ya kuwekwa Wakfu wa Dayosisi
hiyo jana,katika hafla iliyofanyika Kanisa Kuu la Mkunazini Mjini
Unguja

Advertisements

3 responses to “Ibada ya kuwekwa wakfu wa Dayosisi

  1. KILA SIKU ZIKISONGA MBELE WANAFIKI WANACHOZA KWA HALI HII NI LAZIMA CCM WATANGAZE KUPAMBANA NA WAISLAM WA ZANZIBAR. Mzanzibar huyu ndie mgombea wako uliempa kura yako 2010. Huyu ni MUISLAM ANAEPIGA VITA UISLAM. HUYU NI MZANZIBAR ANAEPINGA WANAHARAKATI WA KUDAI UHURU WA ZANZIBAR, Huyu ndie aliyekuwa makamo wa kwanza wa rais TANZANIA na huyu ndie rais wa znz unaemtegemea kushiriki katika harakati za kudai UHURU WA ZANZIBAR. Jee utawachagua tena viongozi hawa waendelee kupambana na WAISLAM WA ZANZIBAR? Si pingi dini ya mtu kila mtu anahaki ya kuabudu LAKI WAZANZIBAR TULIOWENGI TUNAAMINI KUWA ZANZIBAR KUWA KOLONI LA TANGANYIKA INASABABISHWA NA MFUMO KRISTO.

  2. KWA HALI HII NI LAZIMA CCM WATANGAZE KUPAMBANA NA WANAHARAKATI WA KIISLAM WANAO DAI UHURU WA ZANZIBAR 2012. Jana uamsho walipingwa jukwaani leo wenye kuupinga uislam waingia kanisani KUPATIWA KATIBA YA KUPAMBANA NA WAISLAM ZANZIBAR.

  3. Unajua ukiwa na mfumo usioeleweka ni lazima utafanya yasiyoeleweka. Wanasema nchi yetu haina dini. Lakini nchi si ardhi tu ni pamoja na waliomo na mambo mengineyo. Katika hali hii inakuwa vigumu kutenganisha dini na duniia kwa vyote vinategemeana. Kaka yetu huyu kuitwa Kanisa kwenye shehere za kumpa mtu uaskofu ni sehemu ya udhaifu nilioutaja hapo juu. Mfumo wetu kiutawala haujitishelezi na ndio maana mambo mengi yanatokea na mengi ya hayana majibu. Dr. huyu kwenda Kanisani kwa inabidi akubalike kanisani pia ili uraisi wake ukubalike!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s