Katiba Tuitakayo namba tatu

 

Baraza la Katiba limemaliza amwamu yake ya utoaji wa elimu ya uraia juu ya katiba na huku baadhi ya wananchi wakiwa na maoni mbali mbali, picha hii ni baadhi ya wananchi waliofika katika viwanja wa varaza la wawakilishi wakitaka baraza litoa maamuzi juu ya kuitishwa kura ya maoni wiki iliyopita

Baraza Book Print

Advertisements

13 responses to “Katiba Tuitakayo namba tatu

 1. Hii ndio hatua muhimu ambayo Wazanzibari kwa umoja wetu tunapaswa kuiunga mkono kwa vitendo kwani kuna uwezekano mkubwa kwa Baraza la Wawakilishi kuidharau ajenda hii. Mshahara wa milioni nne kwa mwezi mbali ya marupurupu mengineyo nahisi umeanza kuwalegeza wawakilishi wetu. Lazima tupambane tukijua kua hatuna viongozi kwani hata wale ambao walikua wanaonekana mstari wa mbele sabuni ya roho (Pesa) imeanza kuwalainisha. Hii ni kawaida ya nchi za kidikteta kuliteka bunge ili kupitisha mambo wanayoyataka. Silaha ya kupamabana na hali hii ni umoja tu. Mubarrak aliitumia, Ben Ali wa Tunisia aliitumia na matokeo yake kwa umoja wa wamisri na watunisia waliondoka. Kwaa umoja wetu Inshaallah tutashinda.

 2. Mzanzibar ni lazima uelewe kuwa MNAFIKI (VIBARAKA WA TANGANYIKA) NI MAADUI WAKUBWA WA ZANZIBAR ZAIDI KULIKO MAKAFIRI WEUSI WA TANGANYIKA LAZIMA TUPAMBANE NA VIBARAKA NA MAKAFIRI WA TANGANYIKA.

 3. WAZALENDO WA ZANZIBAR NJIA KUU YA KUPATA UHURU WA ZANZIBAR NI KUHAKIKISHA KAMA TUNAWAANDAMA VIBARAKA WA TANGANYIKA NA MAKAFIRI WA TANGANYIKA KUPITIA AINA MBALI MBALI ZA VYANZO VYA UPASHAJI HABARI (MITANDAO) KAMA VILE FACEBOOK EMAILS, MARAFIKI BADOO, TWITTER N’K KILA SIKU TUTUME SMS ZINAZOELEZEA MAOVU YA VIBARAKA WA TANGANYIKA NA MAKAFIRI WEUSI WA TANGANYIKA KWA KUWATAJA MAJINA YAO. KATIKA MITANDAO. MITANDAO NDIO NJIA WANAZOTUMIA WAZUNGU KUSAMBAZA SERA ZAO. KWAHIVYO, WAZANZIBAR TUKIFANIKIWA KUITUMIA MITANDAO VIZURI ZAIDI BASI UHURU UTAPATIKANA TU. NA SIO WANAHARAKATI WA KUDAI UHURU WA ZANZIBAR WATOE MAONI KATIKA ZANZIBAR YETU TU BALI TUSAMBAZE SMS KWA KUTUMIA LUGHA TOFAUTI UNAZOZIJUA KATIKA MITANDAO MBALI MBALI DUNIANI. Hebu wazanzibar tuchukue mfano kutoka IRAN mara tu U.S na ISRAEL walipotaka kuishambulia IRAN kijeshi IRAN ilitumia vyombo vya habari (presstv) kusambaza sera zake baada ya U.S na ISRAEL kushindwa kisera na IRAN walishindwa kuishambulia. Kwahivyo, wazanzibar tukifanikiwa kuzibiti vyombo vya habari kikamilifu kusambaza sera zetu za KUDAI UHURU WA ZANZIBAR TUTAWASHINDA TU VIBARAKA HAWA WA TANGANYIKA WANAOINGIA IKULU KWA WIZI WA KURA.

 4. Basi tu tunajifanya sisi hatuna muda wa kuyafuatilia haya ambayo ni muhimu kwetu na vizazi vijavyo, tuangalia sana tusije tukajilaumu kwa mara nyengine, tujihurumieni jamani, tujikazeni hakuna wa kutuhurumia ispokuwa ni sisi wenyewe

 5. umoja ninguvu imaniyangu 2kiwapamoja hakuna waku2zuia mpaka tutafikialengo kwavile tunadai haki insha allah tuendelee kupeana hamasa kwakila pembe.

 6. Pingback: Katiba Tuitakayo namba tatu·

 7. Hatua ya Mwanzo tungekwenda High Court tukataka TUME YA KUKUSANYA Maoni kuhusu Katiba izuiwe kufanya kazi Zanzibar kwa kuwa si Halali kishheria. Hapa tutajua kuwa Muhimili wa Pili wa Dola kama ni Imara au nao ni Kuunge! Sisi kwa kutumia njia hii tutawaonesha kina DRs, PHds, Masters na Wazoefu wa Kisiasa kuwa wao kuala kiapo kufanyia kazi Tume batili ni kudhalilisha integrity zao kama watu wa calibres za juu. Wale akina pangu pa kavu waliopaa ajira waacheni kwa kuwa tayari walikuwa na hali ngumu na NGOs hazikutosha kukidhi shida zao.

  • Hakuna koti wala kanzu, watakapo kuja Zenji mimi najitoa muhanga maisha yangu kwa kumuondoa kichwa chake cna mjadala.

 8. Pingback: Spika akerwa na uzembe barazani·

 9. Mwenyez mungu ndie ate2fikisha tunapotaka. Ila wazanzibar wenzangu hakuna kulala sisi 2po mbali nje ya TZ ila nasi 2po pamoja tutakufa pamoja nipo tayar kufa kwa ajili ya kutetea nchi yangu na yeyote ataeenda kinyume na matakuwa ya wazenj walio wengi 2nakufa nae mungu ata2vusha ishallah

 10. Lazima TUCHACHAMAE ili tusiburuzwe kwny suala la Muangano kwani Watanganyika wanatuona Wazanzibar sote tunaakili sawa za mwaka 1964. Tusipo jikaz watatunyonya mpaka vidole.

 11. Nafas adhim tumeipata wala tusichezee, tusihadaike na fedha za Muungan bali tutetee Zanzibar yetu. Kiukweli tunakandamizw kwny mamb ming tena yetu wenyew. Sas tushirikiane tujikomboe kwny mabav ya kikristo.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s