Wajumbe wa Mfuko wa Uwezeshaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.AliMohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya Rais ya Mfuko wa Uwezeshaji,baada ya kuizindua rasmi leo Ikulu Mjini

Advertisements

3 responses to “Wajumbe wa Mfuko wa Uwezeshaji

  1. WAZANZIBAR HATUUTAKI MUNGANO NA MAKAFIRI WA TANGANYIKA. Mzanzibar shiriki katika harakati za kudai uhuru 2012 kutoka mikononi NGURUWE WEUSI WA TANGANYIKA.

  2. Hii mifuko haitajiki. Watu wanakuwa masikini kwa sababu ya sera mbaya na kukosekana uwazi kwenye uendeshaji wa serikali. Ningekuwa mimi ningeanzisha mfuko wa bima ya Afya na nikawataka kila mtu achangaie kwa mujibu wa uwezo wake. Kwa kuwa kila mtu atachangia na si wote watako umwa Serikali itaweza kuwatibu watu wake na kupunguza michango ya misikitini ambayo iazidi kila siku. Bima ya Afya ni nzuri lakini wasi wasi wangu ni ufisadi amabao Serikali haijaona haja ya kuusafisha.

  3. Jambo muhimu ni utendaji. Sina shaka waliomo katika kundi hili ni watu wenye uwezo kiutendaji. Nikimuangali Bi. Naila Jiddawi, ni mtendaji mzuri sana tu. na kila mmoja anasifa yake. Madhumuni ya katai hii ni nini wakati tunw wizara husika. Sijui Raisi amekusudia nini lakini kwa kuwa ni jambo la kuwatakia kheri wazanzibari, hakuna ubaya . Twende kazi.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s