Watoto wapelekwa India matibabu

Wazazi wa Watoto 12 wanaokwenda Nchi India kwa Matibabu ya Moyo, wakiwa katika chumba cha mapumziko Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakisubiri kuingia katika ndege ya Oman Air kwa safari hiyo jumla ya Watoto 35, wameshasafirishwa na hili ni kundi la mwisho kutimiza idadi hiyo, kundi la kwanza lilikuwa na watoto 10 na la pili lilikuwa na watoto 13 kati ya hao wanaoondoka. Waziri wa Afya alikuwa ni miongoni mwa aliokwenda kuwaaga uwanja wa ndege wakati wa safari yao. Tunawatakia kheri inshaallah wapate matibabu yao na warudi nyumbani salama.

Advertisements

4 responses to “Watoto wapelekwa India matibabu

  1. mungu wajalie ndugu zetu wanaokwenda matibabu waende safari njema wafike salama na insha Allah uwaondole matatizo yao wawe wazima kama wenzao AMIIIN….

  2. Na si India tu na hata Israel huwa wanapelekwa kwa ajili ya matibabu ya moyo. Mwenyezi Mungu awape afya zao, ameen.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s