Rais afanya mabadiliko ya mawaziri

Kwa mamlaka aliyopewa Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambapo Ramadhan Abdallah Shaaban amekuwa Waziri Ardhi, Maakazi, Maji na Nishati, Ali Juma Shamhuna amehamishiwa wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Suleman Othman Nyanga amepeleka Wiraza ya Kilimo na Maliasili na Mansoor Yussuf Himid amekuwa Waziri asiye na wizara maalumu, na Abdillahi Jihad Hassan amehamishiwa wizara ya Mifugo na Uvuvi na Said Ali Mbarouk amehamishiwa wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii Michezo na pia Rais amemteuwa Sheha Mohammed Sheha kuwa mshauri wake Kisiwani Pemba

Advertisements

4 responses to “Rais afanya mabadiliko ya mawaziri

  1. AHSANTE DR. SHEIN HAYA ULIYOYAFANYA KUBADILISHA MAWAZIRI BADO KUBADILISHA WAKURUGENZI AMBAO WALIO WENGI NI MAFISADI. JUMBE WA FISHERIES AIBA COMPUTER ZA MSAADA WA MACEMP. DR. SHEIN ELEWA MASHEHA WA SHEHIA NI MAADUI WAKUBWA WA WAZANZIBAR KULIKO MAWAZIRI KWANI HAKI NYINGI ZA WAZANZIBAR WAKIPEWA MASHEHA HAZIWAFIKI WALENGWA KWAHIVYO, MASHEHA HAWANA FAIDA YOYOTE ZANZIBAR NI BORA KUONDOLEWA KABISA. Mfano mzuri katika ugawaji wa vyandarua CCM MMOJA VYANDARUA 10 NA CUF CHADEMA N’K 10 VYANDARUA VIWILI PIA MASHEHA HAWA HAWA KATIKA UGAWAJI WA KADI ZA UZANZIBAR UKAAZI BAADHI YA WAZANZIBAR WALINYIMWA KADI HIZO KWA KUWA NI WAPINZANI NA BAADHI YA WAGENI KUPEWA KADI HIZO.

  2. Ahsante sana Shemegi yangu Dr. Shein kwa kubadilisha soji ukatumia punde yule yule. Muundo wa Serikali nzima unnahitaji mabadiliko. Mimi uteuzi huu unanikumbusha Mwanafalsafa moja aliesema kuwa ” ukiwa huwezi kubadilisha mambo unabadilisha majina,”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s