Soma Annuur kila Ijumaa

Wazanzibari waliunga mkono kauli za kukataa Muungano iliyotolewa na viongozi wa dini ya kiislamu katika mhadhara uliofanyika viwanja vya Alabama Michenzani Zanzibar

 Tafadhali Bonyeza hapa ANNUUR

Advertisements

14 responses to “Soma Annuur kila Ijumaa

 1. Kama hivi ndivyo mambo yalivyo. Sasa umefika wakati lazima Wazanzibari waulizwe kwa njia ya kura ya maoni iliyo huru kama wanautaka Muungano au la na kama asilimia kubwa wakisema hawautaki UVUNJILIWE MBALI na kama wakisema wanautaka UENDELEE kwa namna wanavyoona wao Wazanzibari na Watanganyika unafaa. LONG LIVE ZANZIBAR.

 2. UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI DHAIFU MZANZIBARI NA MTANGAANYIKA ACHENI UBAGUZI HUO NI UBAGUZI,KANAKWAMBA HAO VIONGOZI WA DINI HAWAIJI DINI YAO KWANI DINI NDIO INAFARAKANISHA WATU ?????????????
  NASHANGAA SANA WATU WANALILIA NGUVUU,HAO WAO WANATA KUTENGENANA HUU NI UJINGA WALAH INAUMA KUONA WATANZANIA WAKO IVO

  • NI KWELI UMOJANI NGUVU LAKINI SI UMOJA WA KUTUMIWA NA WASIOKUWA WAISLAMU KWA MATAKWA YAO HATA UKIONA MASHEHE WANAFANYA HIVYO KUNASABABU AMBAZO WATU WENYE MTIZAMO WA MBALI WANAZIONA LAKINI WALE AMBAO AO MAISHA YAO NI KULA NA KUKIDHI MATAMANIO WATAONA UJINGA UMOJA WA KWELI NI ULE UNAOMPANGUVU KILA MMOJA NA SIO ULE WA KUFICHA AJENDA KWA MWENZIO UKAHODHI MADARAKA YOTE YA NJE NA KUMFANYA MWEZIO KAMA MTAWALIWA

  • @saeed/said
   Weee wacha ujinga wa kufikiri kwa kutumia kucha za miguu, ikiwa unautaka muungano uko huru uende kwa Tanganyika wenzako mbuzi weee!

 3. Hao wabara(watanganyika) wanajua vizuri sana na viongozi wao kama muungano wazanzibari hawautaki,na viongozi wa zanzibar pia wanajua kama wananchi wamechoka,ispokuwa wako kwenye maslah yao na familia zao,hata huyo maalim seif ashatulizwa hana upinzani kama mwanzo.iliyobaki zanzibar ni waunde chama ambacho sio cha siasa,kiwe ni cha kukomboa kisiwa chao,watupilie mbali hawa wanasiasa wanafik,
  Chama kama kile cha Mombasa ambacho Kenya wanakiita ni kikundi haramu,MRC imeundwa kukomboa pwani sio chama cha siasa wala kikundi haramu.
  Zanzibar tuunde cha ukombozi kiwe ni cha visiwa vya Zanzibar.

 4. Asalaam Aleykum, kwani nini kitaongezeka katika dini kama Muungano ukivunjika? kama sababu ni Uislam, ina maana Tanganyika hakuna waislamu, na vipi ngugu zetu waliohamia Tanganyika miaka mingi iliyopita, ambao wanaishi kwa amani bila kusumbuliwa, nao sio Waislamu. Waislamu tuwe waangalifu,

 5. Ndungu yangu haifai kuwaita watu wajinga,ziko njia za kupita bila ya maneno kama hayo!
  Hili neno unalolisema la Tanzania lingalikuwa lina nia njema basi wa mwanzo wakulikataa wangalikuwa wao watanganyika!
  Nchi mbili zimeungana na khatamu zote ziko mikononi mwa Tanganyika,sidhani kama nijambo lililojificha,tumeungana na kivuli na tunahukumiwa na kivuli,twamtafuta mwenza hatumuoni.
  Tunajadili katiba pia twamtafuta mwenza hatumuoni,sasa hapa mjinga atakuwa nani?
  Hii katiba inayojadiliwa,inajadiliwa na pande mbili za Muungano,lakini upande mwengine uko wapi?hichi ni kizungumkuti na ustahamilivu wetu ndio uliotufikisha hapa.
  Kwa maoni yangu sioni sababu ya kutangaza jihadi!Lakini pia kwa maoni yangu iko haja yakulisawazisha suala hili,kwa kuipa zanzibar madaraka yake kamili,ili iweze kuamua lenye maslahi kwa Taifa letu.
  Pengine tukifanya hivyo hwenda uhusiano wetu na Tanganyika ukawa mzuri zaidi kuliko kutumia khadaa na vitisho.
  Huika Dola ya zanzibar,huika uhuru wetu.

 6. KAMA KUDAI MAMLAKA NA UHURU ZAIDI KWA ZANZIBAR NI UJINGA WACHA TUWE WAJINGA HATUTAACHA KUDAI HAYO MPAKA KIELEWEKE. NA KAMA KUDAI HAYO NI UBAGUZI WACHA TUWE WABAGUZI. UKWELI NI KUA SASA LAZIMA UJANJA NA HADAA KATIKA MUUNGANO VIEKWE PEMBENI NA PAWE NA MUUNGANO WA KWELI NA SIO HUU ULIOPO SASA AMBAO HAIJULIKANI ZANZIBAR IMEUNGANA NA NANI NA TANGANYIKA IMEJIVISHA GAMBA LA TANZANIA NA KUIFILISI ZANZIBAR. JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.

 7. Wanzanzar lazima kua macho na hivi vijisomi vijanja ujanja na vijipropesa makanisa vya Tanganyika na vijibaraka vya Znz.

 8. Huyu mwenzetu saeed naona kaghumiwa kuona Wazenji wanataka nchi yao, kwa hiyo nashauri aelimishwe tu na asihujumiwe.

 9. WAZANZIBAR HATUUTAKI MUUNGANO NA MAKAFIRI WA TANGANYIKA. Wazanzibar tuungane kudai uhuru wa zanzibar kutoka mikononi mwa MAKAFIRI WA TANGANYIKA.

 10. Jamani , mimi nimechoka na comments za Watanganyika. Nnavyokumbuka mimi, wao walisema kuwa ZANZIBAR ni mzigo kwa Tanganyika. sasa kwa nini wakubali kuvunjika mbavu kuubeba mzigo usio na maslahi kwao?!!

  WATUWACHE TUPUMUWE
  JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA

 11. A,alaykum.huwa ninapenda sana kusikiliza mawazo ya wenzangu tuache lugha mbaya.hata allah,pamoja na ukafir wa fir,auni alimwambia musa akazungumze nae kwa lugha laini.hata mtume wetu katufundisha kutumia hikma,na akausia mtu aseme kheri,akikosa ya kheri akae kimya.msiweke mipaka ya udugu wa ki-islam kwa ubara na uvisiwani.sikupenda mmoja aliposema (makafir wa tanganyika)

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s