Mkataba wa makubaliano

Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya SOS, Mohammed Baloo na Waziri wa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Vijana, Watoto na Wanawake Zanzibar , Zainab Omar Mohammed leo wametiliana saini mkataba wa makubaliano kati ya Taasisi hiyo na Wizara ya Makubaliano hayo yanahusu kuwasaidia watoto zaidi ya 400 wanaoishi katika mazingira magumu, kutkana na kufiliwa na wazazi, kutelekezwa na umasikini mkubwa . hii ni picha ya pamoja kati ya wajumbe wa pande mbili hizo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s