Tutaitetea Zanzibar kwa nguvu zote

Wananchi mbali mbali walioshiriki katika Mhadhara wa Kiislamu uliofanyika leo uwanja wa Ijitimai huko Mwanakwerekwe, Mhadhara huo umetayarishwa na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) juu ya kuwahamasisha wazanzibari kutetea nchi yao wakati wa mchakato wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakapoanza, Mhadhara kama huo utafanyika kesho hapo hapo jioni, Na asubuhi kutakuwa na mkutano uliotayarishwa na Baraza la Katiba likiwa na lengo la kutoa elimu kwa raia juu ya katiba mpya hapo Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) Ally Saleh ataongoza na huko Wete Pemba Professa Abdul Shareef atakuwepo Chuo Cha Benjamini Mkapa Wete karibuni kwa wingi kwenda kusikiliza na kutoa maoni yenu juu ya katiba mpya itakayoanza hivi karibuni

Advertisements

2 responses to “Tutaitetea Zanzibar kwa nguvu zote

  1. Pingback: Tutaitetea Zanzibar kwa nguvu zote·

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s