Hafla ya Maulid ya Mtume Muhammad (s.a.w)

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein leo amejumuika na wananchi mbali mbali katika hafla ya Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w) yalioandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Maulid hayo yaliambatana na chakula cha mchana ambayo pia yalihudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Idd yaliofanyika katika ukumbi wa Salama hapo Bwawani hoteli

Advertisements

3 responses to “Hafla ya Maulid ya Mtume Muhammad (s.a.w)

  1. STAAREHE NA UTUMWA HAVIENDANI. Wakati huu zanzibar haitakiwi kuwa na sherehe yoyote mpaka tutakapopata UHURU kutoka mikononi mwa MAKAFIRI WA TANGANYIKA. Ewe kiongozi wa smz elewa kuwa ZANZIBAR ni nchi pekee iliyokua haijapata UHURU mpaka leo pia ni nchi pekee iliyokuwa koloni la MUAFRIKA (makafiri wa TANGANYIKA) kwahivyo, wazanzibar sote tuungane kudai UHURU WA ZANZIBAR. Bila ya kumwaga damu za makafiri wa tanganyika UHURU WA ZANZIBAR UTACHELEWA.

  2. Kwani father K mwenyewe si alichoshwa na muungano huu na yeye ndio muasisi wa kuunganisha nchi hizi. Kwanini iwe dhambi kwa sisi kusema hatutaki muungano huu wa dhulma na kama sisi waislam tumekatazwa kudhulumu na pia kudhulumiwa Hatutaki tena dhulma na makafiri hawa wa Kitanganyika. Wametengezewa Tanzania hata wamelifanya jina lao la Tanganyika kama ni tusi hawataki hata kulisikia kwanini

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s