Whitney Houston afariki dunia

Mwanamuziki Maarufu wa Marekani, Whitney Houston amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 48, Bi Kristen Foster ni mwandishi wake wa habari amesema. Sababu za kifo cha Whitney na mahala alipofariki bado hazifahamiki ingawa inasemekana amefariki akiwa hotelini. Wthitney ni miongoni mwa wanamuziki ambao wamepata mafanikio makubwa duniani katika tasnia ya muziki, pia aliwahi kuwa muigizaji wa filamu, katika michezo kama vile The Bodyguard na Waiting to Exhale filamu ambayo ilimpatia umaarufu mkubwa katika fani hiyo ya uigizaji. Whitney alipata matatizo kutokana na kujiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya na maisha yake yenye matatizo katika ndoa na msanii Bobby Brown ambaye alikuwa ndio mume wake. Whitney ameacha mtoto mmoja wa kike aitwae Bobby.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s