Raza ashinda kwa kishindo

CCM 5377, Chadema 281, CUF 223, Tadea 14, AFP 8, Kura zote zilizopigwa ni 5903, zilizoharibika 28 makadirio ya kura 8755. 
Advertisements

3 responses to “Raza ashinda kwa kishindo

  1. Iko wapi CUF cahma ambacho kinasadikika kuwa mbadala au chaguo la wazanzibari? ni kusema kimepoteza umaarufu hata kishindwe na CHADEMA?

    Ni ishara gani kinacho onyesha katika anga za siasa za Tanzania? Au to tija baada yakua mbia wa serikali ya umoja wa kitaifa?

    Wajuzi wa mabo hebu nijuzeni (nijibuni maswala haya). Ijapo ni tegemeo CCM kushinda kwa vile ni ngome yake UZINI basi CHADEMA ambo hawana uzowefu wa siasa za ZANZIBAR washike nafasi ya pili? Au ni sadfa inayosadifu kwa zile kelele lalizozipiga Mh HAMAD RASHID?

  2. ngoja tukuridhishe ufurahi bw alhaddad eeeeeeeeeeeenh kimepoteza umaarufu . furahi . sasa hivi akili zetu ziko zaidi kwenye maslah ya zanzibar kwenye huu upuuzi unaoitwa muungangano hayo unayoyataka wewe huu sio wakati wake , mungu atuweke hai mpaka uchaguzi ujao halafu habibiy uliza suala kama hili

  3. HONGERA KWA USHINDI. Ewe mzanzibar hamasisha , rithisha wazanzibar wote kutoka kizazi hadi kiza kushiriki KUUVUNJA MUUNGANO WA MBWA WEUSI WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s