Meli ya mizigo yateketea Zanzibar

Meli ya mizigo iitwayo Yaarazak imeripuka leo jioni karibu na bandari ya Malindi Zanzibar, hata hivyo haijafahamika thamani ya mizigo iliyokuwemo humo wala kama kuna watu ndani yake wakati ikizidi kuteketea majira ya saa 12 jioni hakuna juhudi zilizoonekana za kuzima moto huo kutokana na kuwa siku ya mwisho wa wiki maafisa wa bandari hawajapatikana kuzungumzia suala hilo

Advertisements

One response to “Meli ya mizigo yateketea Zanzibar

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s