Soma Annuur kila Ijumaa

Baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya mgomo wakiwa wamelezwa katika hospitali hiyo

Usikose kusoma yaliomo ndani ya gazeti lako la Annuur ambalo leo limekuja na mada isemayo Iacheni Zanzibar na Bahari yake, Profesa Sheriff amjibu Tibaijuka na amtaka asirudie dhihaka ya Sitta, akisema hiki sio kizazi cha ‘hewala bwana’, pia kuna habari ya Madaktari wakitakiwa wapige upya mahesabu yao kwani wagonjwa wasifanywe ‘Collateral Damage’ kupata milioni 7.7, Asilimia 54 ya Bajeti inayokwenda ‘Kanisani’ irudi Muhimbili Misamaha ya kodi ifutwe fedha hiyo iingie Wizara ya Afya Sera ya Afya mbovu. Hili lipigiwe kelele na wanaharakati. Kupata hayo na mengineyo tafadhali Bonyeza hapa.

Advertisements

2 responses to “Soma Annuur kila Ijumaa

  1. Pingback: Soma Annuur kila Ijumaa·

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s