Soma Gazeti la Annuur kila Ijumaa

Imeelezwa kuwa ili kuimarisha Muungano, pana haja kujadili misingi na kuhakiki uhalali wake kwanza kabla ya kujadili katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hayo yamesemwa na baadhi ya Masheikh katika mbali mbali katika kikao kilichofanyika hivi karibuni huko Zanzibar

 

Uhalali wa Muungano kwanza katiba baadae. Usikose kusoma Gazeti la Annuur katika toleo la leo Tafadhali bonyeza hapa.

Advertisements

2 responses to “Soma Gazeti la Annuur kila Ijumaa

  1. EWE MZANZIBARI UNAFAHAMU SABABU ZILIZOMPELEKEA PINDA KUSEMA ZANZIBAR SI NCHI NA SABABU ZILIZOMPELEKEA D.R SHEIN KUAPISHWA KUWA WAZIRI ASIYEKUWA NA WIZARA MAALUM. Basi soma vizuri maelezo yaliopo hapo chini na uhakikishe mwenyewe kwa kufatilia. KWA MUJIBU WA BENDERA YA ZANZIBAR ILIVYO ZANZIBAR SIO NCHI WALA SIO MKOA BALI ZANZIBAR NI WIZARA KAMA ZILIVYO WIZARA ZOTE ZA SEREKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. ELEWA BENDERA NI KIASHIRIO CHA NCHI, JUMUIYA, WIZARA, SHIRIKA n’k. ANGALIA KWA MAKINI BENDERA YA ZANZIBAR, BENDERA YA BUNGE LA TZ, BENDERA YA ASKARI WA UHAMIAJI WA TZ, BENDERA YA POLISI WA TZ, BENDERA YA ASKARI WA MAFUNZO WA TZ NA BENDERA YA JWTZ. Bendera zote hizi utagundua kuwa kuna kibendera kidogo cha muungano juu yake, kibendera hicho cha muungano kinaashiria kuwa bendera hizi zote ni bendera za wizara za TANZANIA. Ewe mzanzibari mwenzangu elewa kuwa znz hatuna wasomi wa kuweza kufafanua mambo bali tunawasomi waliovujishiwa mitihani ya shule tu. Kwani walioitunga au kuibadilisha bendera ya zanzibar kutoka muundo wake wa asili ni wasomi wa znz. Lakujiuliza wasmi hawa hawakujua maana ya kuwepo bendera ndani ya bendera au walipewa rushwa kuimaliza ZANZIBAR.

  2. WASOMI WA ZANZIBAR NDIO WANAOIUWA ZANZIBAR. EWE MZANZIBARI UNAFAHAMU SABABU ZILIZOMPELEKEA PINDA KUSEMA ZANZIBAR SI NCHI NA SABABU ZILIZOMPELEKEA D.R SHEIN KUAPISHWA KUWA WAZIRI ASIYEKUWA NA WIZARA MAALUM. Basi soma vizuri maelezo yaliopo hapo chini na uhakikishe mwenyewe kwa kufatilia. KWA MUJIBU WA BENDERA YA ZANZIBAR ILIVYO ZANZIBAR SIO NCHI WALA SIO MKOA BALI ZANZIBAR NI WIZARA KAMA ZILIVYO WIZARA ZOTE ZA SEREKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. ELEWA BENDERA NI KIASHIRIO CHA NCHI, JUMUIYA, WIZARA, SHIRIKA n’k. ANGALIA KWA MAKINI BENDERA YA ZANZIBAR, BENDERA YA BUNGE LA TZ, BENDERA YA ASKARI WA UHAMIAJI WA TZ, BENDERA YA POLISI WA TZ, BENDERA YA ASKARI WA MAFUNZO WA TZ NA BENDERA YA JWTZ. Bendera zote hizi utagundua kuwa kuna kibendera kidogo cha muungano juu yake, kibendera hicho cha muungano kinaashiria kuwa bendera hizi zote ni bendera za wizara za TANZANIA. Ewe mzanzibari mwenzangu elewa kuwa znz hatuna wasomi wa kuweza kufafanua mambo bali tunawasomi waliovujishiwa mitihani ya shule tu. Kwani walioitunga au kuibadilisha bendera ya zanzibar kutoka muundo wake wa asili ni wasomi wa znz. Lakujiuliza wasomi hawa hawakujua maana ya kuwepo bendera ndani ya bendera au walipewa rushwa kuimaliza ZANZIBAR. Kama kibendera hichi ni kiashirio cha muungano jee katika dunia hii kuna jumuiya nyingi kama vile EU, AU, EAC, UN n’k lakini hakuna nchi mwanachama hata moja waliongiza bendera ya jumuiya katika bendera ya nchi kitu ambacho kingelikuwa na athari kubwa kama ilivyo bendera ya zanzibar iliyodharauliwa na kugeuzwa bendera ya wizara ya TANZANIA.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s