Mzozo wa kupanuliwa eneo la Bahari ya Hindi

Waziri wa Maji, Makaazi, Nishati na Ardhi, Ali Juma Shamhuna yupo katika shindikizo kubwa la wajumbe wa baraza la wawakilishi wakimtaka aachie ngazi kutokana na kuchukua uamuzi wake binafsi juu ya suala la ombi la ongezo la bahari kuu kuwasilishwa huko Umoja wa Mataifa (UN)

Jana katika baraza la wawakilishi la Visiwani Zanzibar kulikuweko majadiliano makali kuhusu hoja iliowasilishwa na mwakilishi wa eneo la Mji Mkonge wa Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, Hii imetokana na ombi la serikali ya Muungano wa Tanzania kwa Umoja wa Mataifa kuomba nyongeza ya mpaka katika Bahari ya Hindi ni kuipokonya Zanzibar haki yake. Yeye alitaka kuwepo mazungumzo ya kuamua nani anamiliki eneo hilo kati ya Tanzania na Zanzibar. Othman Miraji alimpigia simu Salim Said Salim, mwandishi wa habari mkongwe Visiwani humo, kutaka kujuwa nini kilichozunguka katika hoja hiyo ya Mwakilishi Jussa hata Wazanzibari kuwa na hamu na mjadala huo. Tafadhali bonyeza hapa.


 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s