Ripoti yawatia hatiani wakurugenzi wa bandari

Maafisa wa vyombo vya usalama wkaitoa maiti zilizoepuliwa baharini wakati wa ajali ya Meli ya Mv. Spice Islander ambayo zaidi ya watu 1000 walipoteza maisha katika ajali hiyo

Katibu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Abdulhamid Yahya Mzee ameiweka hadharani ripoti ya ajali ya meli ya Mv Spice Islander iliyotokea Septemba mwaka jana na kusababisha vifo vya idadi kubwa ya watu. Ripoti hii imetaja uzembe kama chanzo cha ajali, idadi kamili ya wailokuwemo katika meli na waliokufa, mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa dhidi ya wahusika na fidia kwa waliothiriwa. Sudi Mnette wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle amezungumza kwanza na mwandishi wa habari Issa Yussuf aliyepo Zanzibar, na kisha na Mkurugenzi wa Haki za Binaadamu wa Chama cha Wananchi (CUF) kuhusiana na ripoti hiyo na mapendekezo yake. Kusikiliza mahojiano ya Sudi Mnette na Issa Yusuf, tafadhali bonyeza hapa na kusikiliza mahojiano yake na Salim Bimani, tafadhali bonyeza hapa.

Advertisements

5 responses to “Ripoti yawatia hatiani wakurugenzi wa bandari

  1. Ahsante sana viongozi wa zanzibar kwa kuwaeleza wananchi UKWELI KUHUSU AJALI YA MV. SPICE ISLANDER. wanzanzibar cha kujiuliya jee MUSTAFA JUMBE NA WENZAKE watafungwa? Sawa suala la meli wazanzibar wameshalijua bado suala la KUWEPO KWA KIPENDERA CHA MUUNGANO KATIKA BENDERA YA ZANZIBAR KAMA ILIVYOKUWEMO KATIKA BENDERA ZA WIZARA NYENGINE ZA SEREKALI YA TANZANIA. Hakika kutokana na ufanano wa bendera ya zanzibar na bendera za wizara zote za serekali ya muungano ya TZ na dk. Shein kuapa kua waziri asiyekuwa na wizara maalum TZ. Kwahivyo, Zanzibar ni wizara ya TZ.

  2. Ahsante sana viongozi wa zanzibar kwa kuwaeleza wananchi UKWELI KUHUSU AJALI YA MV. SPICE ISLANDER. wanzanzibar cha kujiuliya jee MUSTAFA JUMBE NA WENZAKE watafungwa? Sawa suala la meli wazanzibar wameshalijua bado suala la KUWEPO KWA KIBENDERA CHA MUUNGANO KATIKA BENDERA YA ZANZIBAR KAMA ILIVYOKUWEMO KATIKA BENDERA ZA WIZARA NYENGINE ZA SEREKALI YA TANZANIA. Hakika kutokana na ufanano wa bendera ya zanzibar na bendera za wizara zote za serekali ya muungano ya TZ na dk. Shein kuapa kua waziri asiyekuwa na wizara maalum TZ. Kwahivyo, Zanzibar ni wizara ya TZ.

  3. vifo ndo vmetokea roho hazirud tena. Kukamata wachache kuwatia hatian ni kuzdisha majanga. Muhmu ni kuwapa fidia wajane na yatima. Na serekal iondoshe tatizo kwan wao ndo wahuska wa ajal kwa kutokuweka usafir

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s