Hamad Rashid atangaza kuunda chama chake mwezi Machi

Hamad Rashid Mohammed

Mahakama Kuu nchini Tanzania imetoa muda zaidi kwa chama cha upinzani nchini Tanzania, CUF, kuzipitia hoja za waliowafukuza kutoka chama chao, akiwemo Mbunge wa Wawi, kisiwani Pemba, Hamad Rashid. Shauri hili lilipangwa kusikilizwa leo, na sasa linatarajiwa kusikilizwa Machi 17. Hamad Rashid, kama mtuhumu, alikuwepo mahakamani  na Sudi Mnette wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle alizungumza naye baada ya Jaji Augostino Shango wa mahakama hiyo kuliahirisha shauri hilo, ambapo Rashid amedai kuwa chama chake cha CUF kimepasuka na akatangaza rasmi kuunda chama kipya hapo Machi. Kusikiliza mahojiano hayo, tafadhali bonyeza hapa.

Chanzo: Deutsche Welle Kiswahili

Advertisements

6 responses to “Hamad Rashid atangaza kuunda chama chake mwezi Machi

  1. sawa sawa hata ukiangaliaa wanachama wake tizama nidhamu gani mtu umdhalilishe mwenzako kwa matusi mabaya kama hayo jee ingekuwa anambiwa mzee wako au wewe mwenyewe ungekubali binadamu safari ni fupi hapa duniani tulipo usijichumie dhambi kisa mmoja kakosoa chama au kusema hakifaii hakuna mmoja asie fahamu kuwa siasa ni mchezo mbaya hakuna cuf hakuna ccm hapa ibada kwenda mbele

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s