Tusalimiane basi yaliopita si ndwele

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Aman mjini Zanzibar leo Januari 12, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Advertisements

2 responses to “Tusalimiane basi yaliopita si ndwele

  1. Kutokana na ufanano uliopo wa bendera ya zanzibar na bendera zote za wizara za TANZANIA. Yaani bendera zote hizi zina kibendera cha muungano juu yake kinachoashiria wizara za TZ. Kwahivyo, zanzibar si nchi wala si mkoa bali ni wizara ya TZ.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s