Maandalizi ya sherehe za Mapinduzi

Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akisisitiza jambo katika kikao cha kamati ya sherehe na mapambo taifa kilichofanyika vip uwanjani amani mjini Zanzibar. kulia yake ni Waziri wa Nchi Afisi ya Rais,Dr. Mwinyihaji Makame Mwadini, kushoto kwa balozi Seif ni Waziri katika ofisi ya Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed na wa pili ni Waziri katika ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Fatma Al-habib Fereji.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amepongeza maandalizi mazuri yaliyofikiwa katika zoezi zima la Maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar yanayotarajiwa kufikia kilele chake hapo kesho Alhamis tarehe 12 Januari 2012. Balozi Seif ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sherehe na Mapambo Taifa amesema hayo alipokutana na Wajumbe wa Kamati hiyo hapo VIP Uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar.

Amesema Kutokana na Maandalizi hayo ama matumaini kwamba Wananchi na Jamii yote Zanzibar na Tanzania kwa ujumla itaendelea kufurahia sherehe hizo zilizoanza rasmi Tarehe 5 Mwezi huu katika maeneo tofauti Nchini kwa Usafi wa Mazingira.

“Nategemea kesho mambo yatakuwa mazuri mbele ya wageni wetu ingawa inawezekana zikawepo hitilafu ndogo ndogo lakini hizo tutazijuwa wakati wa kikao cha Tathmini ya Sherehe nzima ”. Alifafanua Balozi Seif.

Balozi seif aliwaagiza Wajumbe wa Kamati zote ndogo ndogo zilizoteuliwa kusimamia mambo mbali mbali kuhakikisha kwamba mapungufu yaliyomo ndani ya uwezo wao yanakamilika kama ilivyopangwa.

Mapema Balozi Seif na Wajumbe wa Kamati yake waliangalia Mazoezi ya Maandalizi ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama vinavyotarajiwa kunogesha Kilele cha sherehe za Mapinduzi hapo uwanja wa Amani.

Gwaride hilo lililojumuisha Vikosi vya JWTZ, Polisi, Mafunzo, KMKM, JKU, Valantia, na Zima moto vilivyopita kwa mwendo wa pole na haraka mbele ya kamati hiyo ambayo imeridhika na kiwango kilichofikiwa na Vikosi hivyo katika kuchapa gwaride.

Advertisements

7 responses to “Maandalizi ya sherehe za Mapinduzi

  1. NAOMBA WAANDISHI WA HABARI WOTE WA ZANZIBAR WAANDIKE UKWELI HUU KUHUSU ZANZIBAR SASA ILIPOFIKIA. MUNGU IBARIKI ZANZIBAR WABARIKI VIONGOZI WAKE. Jamani hakuna haja ya kusheherekea MAPINDUZI YA ZANZIBAR HALI YA KUWA NCHI YETU IMEFANYWA KUWA WIZARA KAMA ZILIVYO WIZARA NYENYENGINE ZA SEREKALI YA TANZANIA. KWA MUJIBU WA BENDERA YA ZANZIBAR ILIVYO ZANZIBAR SI NCHI NA WALA SI MKOA BALI NI WIZARA KAMA ZILIVYO WIZARA NYENGINE ZA SEREKALI YA TZ. Hebu angalia bendera ya zanzibar, bendera ya bunge la TZ, Bendera ya polisi wa TZ, bendera ya JWTZ, bendera ya askari wa uhamiaji wa TZ, bendera ya askari wa mafunzo wa TZ n’k. Bendera zote hizi utagundua kuwa kuna kibendera kidogo cha serekali ya jamhuri ya muungano ndani yake kibendera hicho kinaashiria wizara au taasisi za TANZANIA ikiwemo zanzibar. Elewa kuwa bendera ni kiashirio cha nchi, jumuiya, wizara za nchi n’k. Hii ndio sababu rais wa zanzibar kuapishwa kuwa WAZIRI ASIYEKUWA NA WIZARA MAALUM TANZANIA KUTOKANA NA BENDERA YA ZANZIBAR INAVYOASHIRIA KUWA ZANZIBAR NI MIONGONI MWA WIZARA ZA SEREKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WALA ZNZ SIO NCHI WALA MKOA WA TZ. Pia, hii ndio sababu iliyompelekea PINDA kusema kuwa znz si nchi alitumia zaidi kigezo cha bendera ya znz inavyofanana na bendera za wizara zote za TZ. Masuali ya kujiuliza. 1- Bendera ya muungano katika bendera ya smz inaashiria nini? Jee kuna nchi wanachama ipi duniani iliyoingiza bendera ya jumuiya kama vile EU, AU, EAC katika bendera ya nchi yao? Kwanini bendera ya awali ya smz ibadilishwe na ilikuwa na kasoro zipi zilizopelekea bendera hiya ya smz iengezwe bendera nyengine ndani yake? Jee walioitunga/kuitengeneza bendera ya smz ni wazalendo au ni wathaliti wa zanzibar? Wacha wazanzibar tuzarauliwe viongozi wetu wa awamu iliyopita wamefanya mambo ambayo tunachekwa nchi za nje mimi mwenyewe nilikuwa sijui hili lakini nimefahamishwa na MAPROFESA 3 WA U.S.A WALIOSOMEA SIASA NIKIWA AMERICA. Nikasema ngoja niwafunue macho wazanzibar wenzangu.

  2. UKWELI NI HUU KUHUSU ZANZIBAR YA LEO. NAOMBA WAANDISHI WA HABARI WOTE WA ZANZIBAR WAANDIKE UKWELI HUU KUHUSU ZANZIBAR SASA ILIPOFIKIA. MUNGU IBARIKI ZANZIBAR WABARIKI VIONGOZI WAKE. Jamani hakuna haja ya kusheherekea MAPINDUZI YA ZANZIBAR HALI YA KUWA NCHI YETU IMEFANYWA KUWA WIZARA KAMA ZILIVYO WIZARA NYENYENGINE ZA SEREKALI YA TANZANIA. KWA MUJIBU WA BENDERA YA ZANZIBAR ILIVYO ZANZIBAR SI NCHI NA WALA SI MKOA BALI NI WIZARA KAMA ZILIVYO WIZARA NYENGINE ZA SEREKALI YA TZ. Hebu angalia bendera ya zanzibar, bendera ya bunge la TZ, Bendera ya polisi wa TZ, bendera ya JWTZ, bendera ya askari wa uhamiaji wa TZ, bendera ya askari wa mafunzo wa TZ n’k. Bendera zote hizi utagundua kuwa kuna kibendera kidogo cha serekali ya jamhuri ya muungano ndani yake kibendera hicho kinaashiria wizara au taasisi za TANZANIA ikiwemo zanzibar. Elewa kuwa bendera ni kiashirio cha nchi, jumuiya, wizara za nchi n’k. Hii ndio sababu rais wa zanzibar kuapishwa kuwa WAZIRI ASIYEKUWA NA WIZARA MAALUM TANZANIA KUTOKANA NA BENDERA YA ZANZIBAR INAVYOASHIRIA KUWA ZANZIBAR NI MIONGONI MWA WIZARA ZA SEREKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WALA ZNZ SIO NCHI WALA MKOA WA TZ. Pia, hii ndio sababu iliyompelekea PINDA kusema kuwa znz si nchi alitumia zaidi kigezo cha bendera ya znz inavyofanana na bendera za wizara zote za TZ. Masuali ya kujiuliza. 1- Bendera ya muungano katika bendera ya smz inaashiria nini? Jee kuna nchi wanachama ipi duniani iliyoingiza bendera ya jumuiya kama vile EU, AU, EAC katika bendera ya nchi yao? Kwanini bendera ya awali ya smz ibadilishwe na ilikuwa na kasoro zipi zilizopelekea bendera hiya ya smz iengezwe bendera nyengine ndani yake? Jee walioitunga/kuitengeneza bendera ya smz ni wazalendo au ni wathaliti wa zanzibar? Wacha wazanzibar tuzarauliwe viongozi wetu wa awamu iliyopita wamefanya mambo ambayo tunachekwa, tunazarauliwa na kubezwa nchi za nje mimi mwenyewe nilikuwa sijui hili lakini nimefahamishwa na MAPROFESA 3 WA U.S.A WALIOSOMEA SIASA NIKIWA AMERICA. Nikasema ngoja niwafunue macho wazanzibar wenzangu. wanasiasa wote wa zanzibar wanalijua hili lakini HAWALISEMI. JAMANI WAZANZIBAR TUMEJIKOMBOA KUTOKA KWA WHITES TUNATAWALIWA NA BLACKS WENZETU. Jee waliotunga bendera hii ni wasomi kweli au vyeti vya kufoji?

  3. UKWELI NI HUU KUHUSU ZANZIBAR YA LEO. NAOMBA WAANDISHI WA HABARI WOTE WA ZANZIBAR WAANDIKE UKWELI HUU KUHUSU ZANZIBAR SASA ILIPOFIKIA. MUNGU IBARIKI ZANZIBAR WABARIKI VIONGOZI WAKE. Jamani hakuna haja ya kusheherekea MAPINDUZI YA ZANZIBAR HALI YA KUWA NCHI YETU IMEFANYWA KUWA WIZARA KAMA ZILIVYO WIZARA NYENYENGINE ZA SEREKALI YA TANZANIA. KWA MUJIBU WA BENDERA YA ZANZIBAR ILIVYO ZANZIBAR SI NCHI NA WALA SI MKOA BALI NI WIZARA KAMA ZILIVYO WIZARA NYENGINE ZA SEREKALI YA TZ. Hebu angalia bendera ya zanzibar, bendera ya bunge la TZ, Bendera ya polisi wa TZ, bendera ya JWTZ, bendera ya askari wa uhamiaji wa TZ, bendera ya askari wa mafunzo wa TZ n’k. Bendera zote hizi utagundua kuwa kuna kibendera kidogo cha serekali ya jamhuri ya muungano ndani yake kibendera hicho kinaashiria wizara au taasisi za TANZANIA ikiwemo zanzibar. Elewa kuwa bendera ni kiashirio cha nchi, jumuiya, wizara za nchi n’k. Hii ndio sababu rais wa zanzibar kuapishwa kuwa WAZIRI ASIYEKUWA NA WIZARA MAALUM TANZANIA KUTOKANA NA BENDERA YA ZANZIBAR INAVYOASHIRIA KUWA ZANZIBAR NI MIONGONI MWA WIZARA ZA SEREKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WALA ZNZ SIO NCHI WALA MKOA WA TZ. Pia, hii ndio sababu iliyompelekea PINDA kusema kuwa znz si nchi alitumia zaidi kigezo cha bendera ya znz inavyofanana na bendera za wizara zote za TZ. Masuali ya kujiuliza. 1- Bendera ya muungano katika bendera ya smz inaashiria nini? Jee kuna nchi wanachama ipi duniani iliyoingiza bendera ya jumuiya kama vile EU, AU, EAC katika bendera ya nchi yao? Kwanini bendera ya awali ya smz ibadilishwe na ilikuwa na kasoro zipi zilizopelekea bendera hiya ya smz iengezwe bendera nyengine ndani yake? Jee walioitunga/kuitengeneza bendera ya smz ni wazalendo au ni wathaliti wa zanzibar? Wacha wazanzibar tuzarauliwe viongozi wetu wa awamu iliyopita wamefanya mambo ambayo tunachekwa, tunazarauliwa na kubezwa nchi za nje mimi mwenyewe nilikuwa sijui hili lakini nimefahamishwa na MAPROFESA 3 WA U.S.A WALIOSOMEA SIASA NIKIWA AMERICA. Nikasema ngoja niwafunue macho wazanzibar wenzangu. wanasiasa wote wa zanzibar wanalijua hili lakini HAWALISEMI. JAMANI WAZANZIBAR TUMEJIKOMBOA KUTOKA KWA WHITES TUNATAWALIWA NA BLACKS WENZETU. Jee waliotunga bendera hii ni wasomi kweli au vyeti vya kufoji? OMBI KWA VIONGOZI WA SMZ: JAMANI VIONGOZI WETU MUJIEPUSHE NA KUFANYA MAMBO AMBAYO YANATUPELEKEA KUDHARAULIWA SOTE WAZANZIBAR NDANI NA NJE YA ZANZIBAR. Ni bora mtu afanye jambo litakalopelekea kudharauliwa yeye mwenyewe binafsi na sio taifa zima.

  4. JAMANI HAPA NDIPO WENZETU WALIPO TUFIKISHA WAMEITOA ZANZIBAR KWENYE MKOA NA KUIGEUZA WIZARA YA TANZANIA. UKWELI NI HUU KUHUSU ZANZIBAR YA LEO. NAOMBA WAANDISHI WA HABARI WOTE WA ZANZIBAR WAANDIKE UKWELI HUU KUHUSU ZANZIBAR SASA ILIPOFIKIA. MUNGU IBARIKI ZANZIBAR WABARIKI VIONGOZI WAKE. Jamani hakuna haja ya kusheherekea MAPINDUZI YA ZANZIBAR HALI YA KUWA NCHI YETU IMEFANYWA KUWA WIZARA KAMA ZILIVYO WIZARA NYENYENGINE ZA SEREKALI YA TANZANIA. KWA MUJIBU WA BENDERA YA ZANZIBAR ILIVYO ZANZIBAR SI NCHI NA WALA SI MKOA BALI NI WIZARA KAMA ZILIVYO WIZARA NYENGINE ZA SEREKALI YA TZ. Hebu angalia bendera ya zanzibar, bendera ya bunge la TZ, Bendera ya polisi wa TZ, bendera ya JWTZ, bendera ya askari wa uhamiaji wa TZ, bendera ya askari wa mafunzo wa TZ n’k. Bendera zote hizi utagundua kuwa kuna kibendera kidogo cha serekali ya jamhuri ya muungano ndani yake kibendera hicho kinaashiria wizara au taasisi za TANZANIA ikiwemo zanzibar. Elewa kuwa bendera ni kiashirio cha nchi, jumuiya, wizara za nchi n’k. Hii ndio sababu rais wa zanzibar kuapishwa kuwa WAZIRI ASIYEKUWA NA WIZARA MAALUM TANZANIA KUTOKANA NA BENDERA YA ZANZIBAR INAVYOASHIRIA KUWA ZANZIBAR NI MIONGONI MWA WIZARA ZA SEREKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WALA ZNZ SIO NCHI WALA MKOA WA TZ. Pia, hii ndio sababu iliyompelekea PINDA kusema kuwa znz si nchi alitumia zaidi kigezo cha bendera ya znz inavyofanana na bendera za wizara zote za TZ. Masuali ya kujiuliza. 1- Bendera ya muungano katika bendera ya smz inaashiria nini? Jee kuna nchi wanachama ipi duniani iliyoingiza bendera ya jumuiya kama vile EU, AU, EAC katika bendera ya nchi yao? Kwanini bendera ya awali ya smz ibadilishwe na ilikuwa na kasoro zipi zilizopelekea bendera hiya ya smz iengezwe bendera nyengine ndani yake? Jee walioitunga/kuitengeneza bendera ya smz ni wazalendo au ni wathaliti wa zanzibar? Wacha wazanzibar tuzarauliwe viongozi wetu wa awamu iliyopita wamefanya mambo ambayo tunachekwa, tunazarauliwa na kubezwa nchi za nje mimi mwenyewe nilikuwa sijui hili lakini nimefahamishwa na MAPROFESA 3 WA U.S.A WALIOSOMEA SIASA NIKIWA AMERICA. Nikasema ngoja niwafunue macho wazanzibar wenzangu. wanasiasa wote wa zanzibar wanalijua hili lakini HAWALISEMI. JAMANI WAZANZIBAR TUMEJIKOMBOA KUTOKA KWA WHITES TUNATAWALIWA NA BLACKS WENZETU. Jee waliotunga bendera hii ni wasomi kweli au vyeti vya kufoji? OMBI KWA VIONGOZI WA SMZ: JAMANI VIONGOZI WETU MUJIEPUSHE NA KUFANYA MAMBO AMBAYO YANATUPELEKEA KUDHARAULIWA SOTE WAZANZIBAR NDANI NA NJE YA ZANZIBAR. Ni bora mtu afanye jambo litakalopelekea kudharauliwa yeye mwenyewe binafsi na sio taifa zima.

  5. Wazanzibar wenzangu ni lazima tuelewe kuwa tunaowapigia kura waliowengi ni wathaliti wa zanzibar wanafanya mambo ambayo VICHAA WA MILEMBE hajawahi kufanya KWELI MSOMI NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ALIYEPEWA DHAMANA YA KUONGOZA WANANCHI ANATUNGA/KUUNDA BENDERA YA NCHI INAYOFANANA NA BENDERA ZA WIZARA ZOTE ZA NCHI NYENGINE. HAKIKA HAWA NDIO WALIOPELEKEA RAIS WA NCHI YETU KUITWA WAZIRI ASIYE NA WIZARA MAALUM TANZANIA.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s