Uamuzi wa Baraza Kuu ni sahihi

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia mamia ya wafuasi wa chama hicho kwenye viwanja vya Bakhresa, Manzese Argentina, jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo, pamoja mambo mengine, Hamad ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar alitetea uamuzi wa chama chake kuwatimua wanachama wake wanne, akiwamo Mbunge wa Jimbo la Wawi, Hamad Rashid Mohammed. (Picha na Mohammed Mambo).

Advertisements

One response to “Uamuzi wa Baraza Kuu ni sahihi

  1. Aslam aleikum,
    Tunachotaka sisi mutuletee ni ninii kimezungumzwa kwenye mkutano huwo wa CUf sio picha tu kwani hazilete maana yoyote, tunakuwa hatufahamu wala hatuelewi ni nini hasa makusudio au nao ulikuwa mkutanowa siri?

    Sisi wengi tunakuwa hii mitandao ndio masikio yetu yakupata kujua kinachoendelea kana natuna bahati ya kufika huko kwenye mikutano sasa ikiwa munatuwekea picha tu munatuacha njia panda hatui ni nini mumuekusudia.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s