Hamad Rashid na wanzake wannne wavuliwa uanachama

Baraza Kuu la Ungozi wa Chama Cha Wananchi (CUF) limemvua uanachama Mbunge wa Wawi,Hamad Rashid Mohammed, Shoka Khamis, Doya Hassan, na Juma Said Sanani.

Baraza Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania limeamua kwa wingi wa kura kumfukuza mmoja wa waasisi wa chama hicho na mwanasiasa mkongwe, mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohammed, na wenzake watatu. Wanachama hao wakiongozwa na Rashid wametiwa hatiani na Baraza hilo kwa kuendesha njama za kukivuruga chama hicho. Othman Miraji amezungumza kwa njia ya simu na mwakilishi wa mji mkongwe wa Zanzibar ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CUF kwa upande wa Zanzibar, Ismail Jussa, kuhusiana na yaliyojiri kwenye kikao hicho.sikiliza mahojiano ya Othman Miraji na Ismail Jussa

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s